Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,771
Mi ni kijana nimemaliza form six mwaka huu na kupata div 2 ya point kumi malengo yangu ni kusomea 'aeronautical engineering' au mambo ya 'pillot' nlikua nachkua pcm.. je ni vipi naweza kupata chuo cha hizo faculty kwa ulaisi nikaaply kwa mwaka huu na ikiwezekana kupata scholarship zao.!!! Nimejaribu kugoogle ila vyuo vingi sina huakika ka vinatambulika nchini kwetu, kwa wenye uelewa au msaada kuhusu haya naomba ansaidie