msaada; Aviation universities

Junior. Cux

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
5,319
3,767
Mi ni kijana nimemaliza form six mwaka huu na kupata div 2 ya point kumi malengo yangu ni kusomea 'aeronautical engineering' au mambo ya 'pillot' nlikua nachkua pcm.. je ni vipi naweza kupata chuo cha hizo faculty kwa ulaisi nikaaply kwa mwaka huu na ikiwezekana kupata scholarship zao.!!! Nimejaribu kugoogle ila vyuo vingi sina huakika ka vinatambulika nchini kwetu, kwa wenye uelewa au msaada kuhusu haya naomba ansaidie
 
Kuna kimoja kipo Nairobi, sikumbuki jina lakini ukigoogle utakipata, kwa hapa nchini hebu jaribu kucheck na TCAA wanaweza kukupa msaada zaidi
 
Chuoo bei rahisi nenda soroti uganda ila kama huna min 5m kwa mwaka sidhani kanma utasoma gharama kubwa kidogo!!!piaa hapa dar kuna watu wanafundisha private......nenda terminal 1 kaulize utaambiwa ila jiandae ni bei kubwa kiasi ........
 
Back
Top Bottom