Msaaada..

ridhiwan

New Member
Dec 27, 2010
3
0
Mimi ni kijana nina umri upatao miaka 20,ninasoma B.Sc IT nchini India ikiwa ndo semester yangu ya kwanza.Kuanzia nimefika chuoni nimekuwa na tatizo kubwa sana kwenye somo la programming na sio siri sitaki kubadilisha cousre sababu napenda sana Technology.Pili nina kama mwezi mmoja ilinifanye end term exam na mid term imenikamata mbaya nina 11 chini ya hamsini,nlikuwa naomba ushauri toka kwenu wakubwa kama material nzuri za kusoma na consellings wakuu...
 
Pole eenhe, mnatumia programming language gani? ili tukupe link ambazo unaweza ukapata video toturials au vitabu vizuri!
 
Back
Top Bottom