Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso

Acheni
kuropoka,na
kukurupuka,tume
ya
uchaguzi
ndio
iliyopendekeza
jina
kutokana
na
taratibu
za
uchaguzi....!!!!
 
Nafasi hii kapewa naye Dr aingize wake baada ya mkewe.

Kwani Mh Ndesamburo amepewa nafasi ya Mtoto na Mkwe.
Mh mgombea urais wa Znz kupitia Chadema ametoa mtoto wa Dada yake.
Tindu lisu ametoa dada yake.
Padre Slaa ametoa mke na labda huyu mrithi wa Regia.

Mh Alfi -- hajapewa
Mh Zitto -- hajapewa.

Je kunani hapo? Dini au shares hazikutosha kwa Zitto na Alfi kupewa nafasi nao waweke wao?

ndio maaana tunasema viti maalum ni unafiki mtupu na upendeleo na ikhsani na fitna kubwa kwa jamii. mfikirie kuviondoa.
 
kuna watu humu vichwa Mbuzi like Rejao and CO... Au mpaka aongee mwenyekiti Tume ya Uchaguzi mtajiridhisha? Hakuna ishu ya kubebana hapa lazima kanuni na taratibu zifuatwe..Hongera Cesilia piga mzigo, Magamba wasikunyime usingizi:::::
 
Chadema Morogoro wamebaki wakiwa sana yaani mkoa wote wamekosa mrithi wa Regia Mtema, mpaka atoke kwa kina Slaa?

Kuna sehemu nyingi tu hakuna wabunge wa Chadema wamekosa nafasi hiyo.

Tayari Karatu kuna mbunge wa Chadema, Mchungaji Israel Natse, anatosha wanakwenda kuwaongezea mbunge mwingine.

Wameshindwa kuwafariji watu wa Morogoro Chadema bana.

Hivi JF pia kuna members Wenye uelewa mdogo kiasi kuwa hawajuwi kuwa majina ya wabunge wa viti maalum yakishapelekwa Tume baada ya uchaguzi ikitokea dharura Kama hii ya marehemu Regia....Chama hakina tena mamlaka ya kubadili kitu...tume ndio hutoa Jina la mteuliwa aapishwe kwa kuzingatia list waliyopewa mwaka 2010.?

Hata mbunge wa umoja wa vijana Marehemu Amina Alipofariki umoja walitegemea kutoa mtu ...lakini Tume ikaleta china la mama Chritine Ishengoma.......Vivo hivyo nadhani Chadema wangetamani mbunge atoke tena Kilombero.....lakini bahati mbaya Jina la anayefuatia lililopo tume ni la mwakilishi wa Karatu...

Tusitumie uteuzi huu Kama propaganda.....wabunge wa vita maalum sio wa jimbo!
 
Nafasi hii kapewa naye Dr aingize wake baada ya mkewe.

Kwani Mh Ndesamburo amepewa nafasi ya Mtoto na Mkwe.
Mh mgombea urais wa Znz kupitia Chadema ametoa mtoto wa Dada yake.
Tindu lisu ametoa dada yake.
Padre Slaa ametoa mke na labda huyu mrithi wa Regia.

Mh Alfi -- hajapewa
Mh Zitto -- hajapewa.

Je kunani hapo? Dini au shares hazikutosha kwa Zitto na Alfi kupewa nafasi nao waweke wao?

ndio maaana tunasema viti maalum ni unafiki mtupu na upendeleo na ikhsani na fitna kubwa kwa jamii. mfikirie kuviondoa.

Jusa na Maalim Seif wanapanga kuingia Ikulu tutakuona na wewe pamoja na jamaa zako kwenye uongozi, vp huko Doha hawajambo?
 
Watu wengi ni stupid siku hizi,wanapenda kubwabwaja bila kuwa na info za kutosha.
Mnaambiwa mchakato uliofanyika last year ndo huohuo,wanafuata mfululizo wa majina. Waliishia 25th na 26th aliasi chama na anayefuata atapewa nafasi. Sasa mnaleta maneno mengi kama kasuku tu...very stupid and boring.

Utaratibu huu,umefafanuliwa,tena,na tena! Lakini,watu,waapi! Sijui ni kweli hawaelewi,au makusudi tu!!?
 
Kama kawaida tena tumezidi kujionea Chadema ni chama cha Kaskazini..

Tukimfutilia sana huyu Cecilia Pareso, unaweza kukuta ni mjomba wake Slaa.
Kama vile Kawambwa alivyo mjomba wa Kikwete, eeh?
 
RAJAO? Kwa taarifa yako hiyo ni NEC iliamua hivyo Jina limetokana na wabunge wa viti maalumu waliokuwa wamependekezwa katika uchaguzi mpya. Kwa hiyo hilo swala la kusini na kaskazini achana nalo.
Usipoteze muda wako bure. Hawa watu ni ile caliber ya "don't confuse me with the facts. My mind is made up."
 
Alafu hili lina ukweli ndani yake!

Fedha - Mkulo,
Mambo ya Ndani - Shamsi,
Afya - Hadji,
Ulinzi - Hussein,
Elimu - Shukuru,
etc..

Ongezea na mkuu wa polisi, mkuu wa usalama wa taifa, CJ na pia angalia manaibu waziri.
 
Nafasi hii kapewa naye Dr aingize wake baada ya mkewe.

Kwani Mh Ndesamburo amepewa nafasi ya Mtoto na Mkwe.
Mh mgombea urais wa Znz kupitia Chadema ametoa mtoto wa Dada yake.
Tindu lisu ametoa dada yake.
Padre Slaa ametoa mke na labda huyu mrithi wa Regia.

Mh Alfi -- hajapewa
Mh Zitto -- hajapewa.

Je kunani hapo? Dini au shares hazikutosha kwa Zitto na Alfi kupewa nafasi nao waweke wao?

ndio maaana tunasema viti maalum ni unafiki mtupu na upendeleo na ikhsani na fitna kubwa kwa jamii. mfikirie kuviondoa.
Zitto anaye Muhonga Ruhwanya au unataka kuingiza DINI kidogo! Kule CUF Maalim ana Jussa?
 
Chadema Morogoro wamebaki wakiwa sana yaani mkoa wote wamekosa mrithi wa Regia Mtema, mpaka atoke kwa kina Slaa?

Kuna sehemu nyingi tu hakuna wabunge wa Chadema wamekosa nafasi hiyo.

Tayari Karatu kuna mbunge wa Chadema, Mchungaji Israel Natse, anatosha wanakwenda kuwaongezea mbunge mwingine.

Wameshindwa kuwafariji watu wa Morogoro Chadema bana.
Suzan Kiwanga anatoka Kilombero kama Regia. VITI MAALUM havifai. Viti maalum ni mzigo kwa TAIFA.
 
Ongezea na mkuu wa polisi, mkuu wa usalama wa taifa, CJ na pia angalia manaibu waziri.
Mhhhh!!!!........

Mkuu wangu Jasusi nawe umeingia kwenye mtego huu wa Udini!!!.....

Ni vizuri ukampuuza(kwa kutoquote/kumjibu) mtu anayeandika/kuleta ubaguzi wa aina yoyote humu uwe wa kidini,kikabila ama ukaanda......
 
Mimi pia nimeshtushwa na muono huo wa Jasusi, siku hizi namuona mmmh.....MAY be he is trying to be sarcastic.
 
Back
Top Bottom