Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
wakuu heshima kwenu sana.
taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mrithi wa Rejia anatoka karatu anaitwa Cecilia Pareso.nampongeza sana mpambanaji mpya.

mwenye CV Yake aimwage hapa tafadhali.
 
Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!
 
wakuu heshima kwenu sana.
taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mrithi wa Rejia anatoka karatu anaitwa Cecilia Pareso.nampongeza sana mpambanaji mpya.

mwenye CV Yake aimwage hapa tafadhali.

Toka huko umejiunga jana unakuja na habari ambayo tayari ishatolewa ufafanuzi.

Rejao
Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!

Na wewe nawe hamna kitu! kichwani kama avatar yako yenye nywele za kisogoni.
 
Nasikia dada huyu aliwahi kusababisha ugomvi wa kindoa na aliyekuwa mke wa zamani wa****** ambaye hivi sasa ni mbunge wa viti maalum, Rose Kamili.
 
Wao waliomteua wanalidhika na CV yake sasa wewe ya nini?Kwa hiyo wewe haumini waliomchagua?
 
wakuu heshima kwenu sana.taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mrithi wa Rejia anatoka karatu anaitwa Cecilia Pareso.nampongeza sana mpambanaji mpya.mwenye CV Yake aimwage hapa tafadhali.


Kwa nini haukuuliza toka hicho chanzo chako cha uhakika kikupe cv ya huyo mtu?
 
Wasifu wake mojwapo ni ukaribu wake usio wa kawaida kati yake na aliyekuwa mgombea urais aliyeshindwa na kusema kura zake zimechakachuliwa
 
dk slaa atakuwa ana cv yake coz alipokuwa mbunge wa krt kpnd kile alikuwa akiishi pale kwao,dingi yake na cecilia ni swahiba a dr slaa!wenye cv yake atupe!

vyeo vya marafiki na undugu kumbe hata chadema viko maana tunaambiwa na kuaminishwa kuwa ni Jk tu ndiye anachagua watu wake wa karibu
 
Katika vyama vya siasa hapa nchini suala la fairness ni kitu cha muhimu sana ikiwa ni pamoja na nafasi za uteuzi.

Ni vizuri sana kwa vyama hivi vinavyojiimarisha viwe vinaepuka kasoro ndogo ndogo kama hizi ambazo tunazilalamikia kwenye magamba.
 
Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!
sheria za uchaguzi na uteuzi wa wabunge wa viti maalum unazifahamu? waombe wajf hapa watakupa nadhani utaridhika. Kwa kifupi tume ya uchaguzi ndiyo inapendekeza jina , linapelekwa ktk chama husika kupewa baraka.
 
Back
Top Bottom