Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,568
Arudi kuongeza Mke....
Mwenyezi Mungu awalinde Samatta na Ulimwengu
Mwenyezi Mungu awalinde Samatta na Ulimwengu
Ongea kiswahili tu tutakuelewa Ngasa ni mchezaji mzuri tu huna sababu ya kumdhihakiWe famba kweli kwahiyo ulitaka nimtabilie kuchezea madrid. . Ngasa's football capacity is now limited he can't do more wonderful in world football of today!
Ajadhihakiwa anajadiliwa kwa uwezo alionao sina haja kusifia ujinga na kumwongezea vitu asivyo navyo.Ongea kiswahili tu tutakuelewa Ngasa ni mchezaji mzuri tu huna sababu ya kumdhihaki
Kuna wachezaji wengi sana wa kuwaombea kwa mungu ila ngasa aombewe na familia yake, huyu jamaa kichwani mwake waga anawaza mapenzi tu, yani me niache kumuombea samatta ambae tunaona juhudi zake nikae namuombea ngasa si ata mungu mwenyewe atashangaa coz ni wastage of dua. Na huyu anaesema tumuombee watakuwa miongoni mwa ndugu zakeAjadhihakiwa anajadiliwa kwa uwezo alionao sina haja kusifia ujinga na kumwongezea vitu asivyo navyo.
Umeona heeeh! Mijitu mingine sijui ikoje eti nimwombee Ngassa kwa lipi mpuuzi kichwa maji anacheza mpira ili apate papuchi. Poor ngassa.Kuna wachezaji wengi sana wa kuwaombea kwa mungu ila ngasa aombewe na familia yake, huyu jamaa kichwani mwake waga anawaza mapenzi tu, yani me niache kumuombea samatta ambae tunaona juhudi zake nikae namuombea ngasa si ata mungu mwenyewe atashangaa coz ni wastage of dua. Na huyu anaesema tumuombee watakuwa miongoni mwa ndugu zake
watanzania inabidi tuache upumbavu,mpira unahitaji mikiki na unyenyekevu,huyu kashazeeka na kiwango chake cha mpira kazoea wa jangwani.mpk sasa asharudishwa mara kibao toka timu za kimataifa,ashazoea yanga na upastaa ushuzi wa bongo.pale alitakiwa acheze kwa kiwango kumshawishi kocha kwamba yuko wrong.kocha hajakosea,bongo kuna mpira gani zaidi ya simba na yanga?badilisha id iwe bigbooty,huwezi ombea mabaya kwa mtanzania mwenzako utakua na tatizo sehemu.
Ngasa ndio angekuwa shujaa wetu ata kabla ya samatta, tulimuombea sana kipindi kile anaenda kufanya majaribio westham, karudi na kutakiwa kufanyia marekebisho baadhi ya vitu katika mpira wake ye anarudi kuoa, na km angekuwa fighter na ana nia ya kucheza ulaya, angetulia na wakala wake na wangepata timu ata daraja la kwanza kabla ya kucheza EPL kwani westham ni club kubwa kwa uwezo wa ngasa, ye kazi kudanganya umri tu kila siku ye ana miaka 26 tuUmeona heeeh! Mijitu mingine sijui ikoje eti nimwombee Ngassa kwa lipi mpuuzi kichwa maji anacheza mpira ili apate papuchi. Poor ngassa.
Kiwango kimeisha kabisaLol...
Muda wa kusifia ujinga umekwisha hakika ni jambo bora sanaNgasa ndio angekuwa shujaa wetu ata kabla ya samatta, tulimuombea sana kipindi kile anaenda kufanya majaribio westham, karudi na kutakiwa kufanyia marekebisho baadhi ya vitu katika mpira wake ye anarudi kuoa, na km angekuwa fighter na ana nia ya kucheza ulaya, angetulia na wakala wake na wangepata timu ata daraja la kwanza kabla ya kucheza EPL kwani westham ni club kubwa kwa uwezo wa ngasa, ye kazi kudanganya umri tu kila siku ye ana miaka 26 tu
Samatta ameshafanya majaribio mara kadhaa club za ulaya km fc porto na hakufanikiwa ila kwakuwa alikuwa na nia bado aliendelea ku fight na leo hii anacheza europa, mchezaji km huyu ndo wakumweka kweny dua ya jumapili au ijumaa maana anaonesha anapigania dua zetu, habari za kusifia ujinga zimeshapita, wamsifie wenye mahaba nae