Mrisho Ngassa amevunja mkataba na Free State sasa ni mchezaji huru

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Habari wanaJamvi la Michezo

Mchezaji soka wa kulipwa wa Kitanzania, Mrisho Ngassa ameamua kuvunja mkataba na timu aliyokuwa akiitumikia ya Free State na sasa amekuwa mchezaji guru kujiunga na klabu yoyote.

Hii ni copy ya uthibitisho:
IMG_20160902_062908.jpg

Ngassa alijiunga na klabu hiyo Mei 2015 ambapo alisajiliwa na kocha Kinnar Phiri na kudondosha wino wa miaka minne kwa sasa mchezaji huyo yupo huru kujiunga na timu yoyote.

Klabu ya Free State Stars FC ya Afrika Kusini ilitoa barua ya kuvunjwa mkataba huo na Meneja Mkuu Rantsi Mokena inaonesha mkataba huo umevunjwa tangu August 25, 2016.

=========
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa si mchezaji tena wa Free State Stars ya Afrika Kusini.

Hiyo inafuatia mchezaji huyo wa zamani wa Toto Africans ya Mwanza, Kagera Sugar ya Bukoba, Yanga SC, Azam FC na Simba za Dar es Salaam kuvunja mkataba na klabu hiyo leo mchana.

Meneja Mkuu wa Free State Stars, Rants Makoena alikuwa na kikao kirefu na Ngassa leo makao makuu ya klabu, Mtaa wa President Boshoff Bethlehem, Afrika Kusini wakijadili masuala mbalimbali kabla ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba.

View attachment 392017

“Ngassa alikuwa ana hoja zake kama mchezaji akitaka kuvunja mkataba, baada ya majadiliano marefu, kiungwana tukakubaliana naye. Tunamtakia safari njema, hatuna kinyongo naye,”alisema Mokoeana

Habari za ndani zinasema mwezi wote wa Agosti Ngassa amekuwa akishinikiza kuondoka Free State na baada ya uongozi kuhisi hauwezi kumzuia tena ukamleta Hamisi Kiiza, mchezaji mwingine wa zamani wa zamani wa Simba na Yanga ambaye tayari amejiunga na timu hiyo.

Kwa upande wake, Ngassa alisema kwamba sababu kubwa za kuondoka Free State ni timu ambayo haina malengo ya kushinda taji.

“Ninapenda kushinda mataji, nimezoea kushinda mataji tangu nipo mdogo, na nina rekodi ya kushinda mataji tangu klabu yangu ya kwanza ya Ligi Kuu (Kagera Sugar). Ninaondoka Free State kwenda kujiunga na klabu ambayo itanirejesha kwenye enzi za kushinda mataji,”alisema Ngassa.

Alipoulizwa ni timu gani anakwenda baada ya kuondoka Free State Stars, Ngassa alisema; “Utaijua baada ya muda si mrefu,”.

Ngassa alijiunga na Free State Stars Mei mwaka jana akisajiliwa na kocha Mmalawi, Kinnah Phiri kwa mkataba wa miaka minne.

Hata hivyo, kocha aliyemsajili baba huyo wa Farida (9) na Faria (7) alifukuzwa baada ya miezi miwili tu.

Katika kipindi cha mwaka mmoja wa kuwa Free State, Ngassa amefanya kazi na makocha wanne akiwemo huyu wa sasa, Mfaransa Denis Lavagne aliyeanza kazi Juni mwaka huu.
Wengine ni Mjerumani Ernst Middendorp aliyefanya kazi kati ya Septemba na Desemba 2015, Mtaliano Giovanni Solinas aliyefanya kazi kati ya Desemba na Mei 2016.

Na Lavagne ndiye aliyechangia Ngassa kuomba kuondoka Free State baada ya kuonyesha kuidharau Tanzania haiwezi kuwa na mchezaji bora.

View attachment 392016

Lavagne alimuanzishia benchi Ngassa katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu ya ABSA ya Afrika Kusini Agosti 23, kabla ya kumuingiza dakika ya 63 kwenda kuchukua nafasi ya Mbuyiselo Thethani wakati huo tayari FS imekwishapigwa 2-1, matokeo yaliyodumu hadi mwisho wa mchezo.

Na baada ya kuingia Ngassa akaenda kucheza kwa kiwango kizuri na kukaribia kufunga mara mbili hadi kocha huyo akampongeza baada ya mchezo, ingawa tayari mchezaji wa Tanzania alikwishatumbukiwa nyongo na Mfaransa huyo.

Ngassa akazidisha shinikizo la kutaka kuondoka baada ya mchezo huo hatimaye leo amefanikiwa kuachana salama na klabu hiyo, iliyokaribia kuuzwa Julai kutokana na ukata.
 
hii ni aibu kurudi tz huku mpira umekwisha labda aende toto african au mbeya city
 
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa si mchezaji tena wa Free State Stars ya Afrika Kusini.

Hiyo inafuatia mchezaji huyo wa zamani wa Toto Africans ya Mwanza, Kagera Sugar ya Bukoba, Yanga SC, Azam FC na Simba za Dar es Salaam kuvunja mkataba na klabu hiyo leo mchana.

Meneja Mkuu wa Free State Stars, Rants Makoena alikuwa na kikao kirefu na Ngassa leo makao makuu ya klabu, Mtaa wa President Boshoff Bethlehem, Afrika Kusini wakijadili masuala mbalimbali kabla ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba.

1472794869922.jpg

1472794854290.jpg

Lavagne alimuanzishia benchi Ngassa katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu ya ABSA ya Afrika Kusini Agosti 23, kabla ya kumuingiza dakika ya 63 kwenda kuchukua nafasi ya Mbuyiselo Thethani wakati huo tayari FS imekwishapigwa 2-1, matokeo yaliyodumu hadi mwisho wa mchezo.

Na baada ya kuingia Ngassa akaenda kucheza kwa kiwango kizuri na kukaribia kufunga mara mbili hadi kocha huyo akampongeza baada ya mchezo, ingawa tayari mchezaji wa Tanzania alikwishatumbukiwa nyongo na Mfaransa huyo.

Ngassa akazidisha shinikizo la kutaka kuondoka baada ya mchezo huo hatimaye leo amefanikiwa kuachana salama na klabu hiyo, iliyokaribia kuuzwa Julai kutokana na ukata.
 
Habari wanaJamvi la Michezo

Mchezaji soka wa kulipwa wa Kitanzania, Mrisho Ngassa ameamua kuvunja mkataba na timu aliyokuwa akiitumikia ya Free State na sasa amekuwa mchezaji guru kujiunga na klabu yoyote.

Hii ni copy ya uthibitisho:
View attachment 391980

Kwanza mapungufu yake yameanza tu kuonekana kuanzia katika hilo jina lake la katikati. Haitwi Alfan bali tunaomjua tokea Kitangiri na Mecco Mkoani Mwanza tunamjua kuwa jina lake la katikati ni Khalfan sasa sijui hilo la Alfan alibatiziwa upya wapi tena na huu ndiyo ULIMBUKENI wa Waafrika baadhi kutaka kujifananisha na Wazungu.

Nirudi katika suala la msingi juu ya kilicho mezani kumuhusu huyu Mchezaji. Kuna mahala humu humu JF niliwahi kuandika post fulani kumuhusu Mrisho Khalfan Ngassa alipopata tu hilo deal la kwenda katika hiyo Klabu huko Afrika ya Kusini lakini nikaonekana namchukia kwakuwa tu Mimi ni " Mnyama Mnyamani ".

Sishangai leo kusikia kuwa Mchezaji Mrisho Khalfan Ngassa yamemfika yaliyomfika huko alipo. Matatizo makuu yanayomkabili Ngassa japo yapo mengi ila haya yafuatayo ndiyo makubwa:

  1. Umri. Ngassa hana umri huo ambao wengi tunadhani anao na nina uhakika kuwa Ngassa sasa ana miaka kati ya 31 au 33 ila wengi tunadhani ana miaka 24 au 27. Wachezaji wengi wa Kiafrika wanaodanganya umri wakiumia tu kidogo Jeraha huchelewa kupona.
  2. Utoto. Ngassa ameshindwa kujitambua kuwa Yanga, Azam na Simba ambazo alizichezea siyo Free State na Klabu zingine za South Africa au huko Ulaya ambazo kimsingi zina maadili na nidhamu ya Soka tofauti na huku kwetu ambako kumejaa tu uhuni uhuni.
  3. Starehe. Ngassa anapenda sana kula " bata " yaani kustarehe na kwa mujibu wa Mtanzania mwenzie aliyepo huko huko South Africa anasema kuwa Ngassa amewekeza mno katika Starehe. Kwa tunaomjua Ngassa tokea akiwa hapa Dar ilikuwa ni nadra sana kila Alhamisi, Ijumaa na Jumamosi kumkosa Ngassa katika kumbi mbalimbali ila uwanja wake wa nyumbani ulikuwa ni Mango Garden. Na ni huyu huyu Ngassa ndiye aliyemuharibu na kutaka kumpoteza Kiungo wa Simba wa sasa anayefanya vizuri Jonas Gerald Mkude kwa kumuingiza katika ulevi wa kupindukia hadi kupelekea siku moja Mkude alizima kabisa kwa " kupombeka " hapo Mango na ikabidi akina Singano " Messi " waitwe kumbeba huku akiwa " chakari " na hajitambui.
  4. Umalaya. Ngassa anaendekeza mno matumizi mabaya na ya kupindukia ya PAPUCHI. Hiki kitoto kimetoka tu West Ham kikiwa kimeambiwa kuwa kije kifanye mazoezi tena ambayo alikuwa ameshapangiwa kabisa yeye alipotua tu Bongo land haraka bila kuchelewa kakimbilia kukidaka Kidemu kimoja Kawe mwisho eneo la Maringo na kama hiyo haitoshi tena akaanzisha uhusiano na Jimama moja mitaa hiyo hiyo ya Mango Garden sasa hii tisa na kumi wakati Ngassa akijua kabisa kuwa anatarajia kumuoa huyo Mkewe aliyenae sasa akaanzisha mahusiano ya " Kingono " na Msanii wa Taarab kutoka Mkoani Mara ambaye hupenda kujiita QUEEN OF THE BEST MELODY na kama kuna Mwanamke anayemfanya Ngassa kila mara akili zake ziwe Dar ni huyu Mwanadada kwani Ngassa atafurukuta kwa wote ila kwa huyu Dada amekufa na kaoza.
  5. Matumizi ya Pombe za Makaratasi. Ngassa na Wachezaji karibia 90% hapa Tanzania ni Watumiaji wa kutukuka wa Pombe ya Makaratasi a.k.a Urithi wa Bob Marley japo mpaka sasa hajamfikia Gwiji wa hiyo kitu Haruna Moshi " Boban " hivyo basi huko alipo Ngassa anakosa uhuru wa kukitumia hicho Kilevi kutokana na nidhamu ya Soka waliyonayo wenzetu. Pombe ya Makaratasi huwapa sana " mzuka " wachezaji wa Bongo japo wengi wao huwaathiri hadi kupelekea kuwa na maamuzi ya kustaajabisha kama Beki wetu wa kutumainiwa wa Taifa Stars ambaye juzi tu ameitwa Taifa Stars lakini akagoma kwenda na huyu mchezaji nadhani Kicheo kwa matumizi ya Pombe ya Makaratasi anaweza akawa ni Naibu kwa Haruna Moshi " Boban ".
Asubuhi njema.
 
Akalime au akavute bangi
hadi wa tz wenzetu tuna waombea mvua??

kweli mtu anaizarau nnchi yako afu unachukulia poa kama kahisi timu ina mpoteza ? mmefikir ktk maslahi ? achen unyumbu
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa si mchezaji tena wa Free State Stars ya Afrika Kusini.
Hiyo inafuatia mchezaji huyo wa zamani wa Toto Africans ya Mwanza, Kagera Sugar ya Bukoba, Yanga SC, Azam FC na Simba za Dar es Salaam kuvunja mkataba na klabu hiyo leo mchana.
Meneja Mkuu wa Free State Stars, Rants Makoena alikuwa na kikao kirefu na Ngassa leo makao makuu ya klabu, Mtaa wa President Boshoff Bethlehem, Afrika Kusini wakijadili masuala mbalimbali kabla ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba.
View attachment 392017

“Ngassa alikuwa ana hoja zake kama mchezaji akitaka kuvunja mkataba, baada ya majadiliano marefu, kiungwana tukakubaliana naye. Tunamtakia safari njema, hatuna kinyongo naye,”alisema Mokoeana

Habari za ndani zinasema mwezi wote wa Agosti Ngassa amekuwa akishinikiza kuondoka Free State na baada ya uongozi kuhisi hauwezi kumzuia tena ukamleta Hamisi Kiiza, mchezaji mwingine wa zamani wa zamani wa Simba na Yanga ambaye tayari amejiunga na timu hiyo.
Kwa upande wake, Ngassa alisema kwamba sababu kubwa za kuondoka Free State ni timu ambayo haina malengo ya kushinda taji.
“Ninapenda kushinda mataji, nimezoea kushinda mataji tangu nipo mdogo, na nina rekodi ya kushinda mataji tangu klabu yangu ya kwanza ya Ligi Kuu (Kagera Sugar). Ninaondoka Free State kwenda kujiunga na klabu ambayo itanirejesha kwenye enzi za kushinda mataji,”alisema Ngassa.
Alipoulizwa ni timu gani anakwenda baada ya kuondoka Free State Stars, Ngassa alisema; “Utaijua baada ya muda si mrefu,”.
Ngassa alijiunga na Free State Stars Mei mwaka jana akisajiliwa na kocha Mmalawi, Kinnah Phiri kwa mkataba wa miaka minne.
Hata hivyo, kocha aliyemsajili baba huyo wa Farida (9) na Faria (7) alifukuzwa baada ya miezi miwili tu.
Katika kipindi cha mwaka mmoja wa kuwa Free State, Ngassa amefanya kazi na makocha wanne akiwemo huyu wa sasa, Mfaransa Denis Lavagne aliyeanza kazi Juni mwaka huu.
Wengine ni Mjerumani Ernst Middendorp aliyefanya kazi kati ya Septemba na Desemba 2015, Mtaliano Giovanni Solinas aliyefanya kazi kati ya Desemba na Mei 2016.
Na Lavagne ndiye aliyechangia Ngassa kuomba kuondoka Free State baada ya kuonyesha kuidharau Tanzania haiwezi kuwa na mchezaji bora.

View attachment 392016
Lavagne alimuanzishia benchi Ngassa katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu ya ABSA ya Afrika Kusini Agosti 23, kabla ya kumuingiza dakika ya 63 kwenda kuchukua nafasi ya Mbuyiselo Thethani wakati huo tayari FS imekwishapigwa 2-1, matokeo yaliyodumu hadi mwisho wa mchezo.
Na baada ya kuingia Ngassa akaenda kucheza kwa kiwango kizuri na kukaribia kufunga mara mbili hadi kocha huyo akampongeza baada ya mchezo, ingawa tayari mchezaji wa Tanzania alikwishatumbukiwa nyongo na Mfaransa huyo.
Ngassa akazidisha shinikizo la kutaka kuondoka baada ya mchezo huo hatimaye leo amefanikiwa kuachana salama na klabu hiyo, iliyokaribia kuuzwa Julai kutokana na ukata.
View attachment 392015
 
nkajua ni kama nduguye Eto'o vs timu ya Nyumbani kwao akina Salah
 
Back
Top Bottom