Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo: Kwa gharama yoyote lazima Jimbo la Arusha lirudi CCM



Hii ndio Tanzania mpya ya Magufuli

Mrisho Gambo ni mlevi tu, mlevi wa madaraka kama Paul Makonda.
Magufuli kawalea vibaya vijana wake. Ndio maana wanafanya makosa ya kipuuzi kabisa.
Salim Ahmed Salim alikuwa balozi akiwa na 23yrs Na akaendelea kushika nafasi kubwa, lakini hakuwahi kumuaibisha Nyerere. Alikuwa mnyenyekevu mno kwa Kila mtu.
 
Mtaani mtoto mpumbavu anayetukana watu hovyo, anaumiza au kutoa kauli zisizo faa na "baba" yake anapata taarifa hachukui hatua basi huyo "baba" ndiye anayeonekana lijuha mbele ya jamii.
Gambo afanyacho, kuna MTU anapaswa kumchukulia hatua aonekane lijuha.
 
Waafrika bana, nimezunguka nchi nyingi duniani sijawahi ona wajinga kama bongo, yaani wamejaa balaa, jambo kama hili wanasikia wanacheka. Ingekua nchi nyingine watu wangemzomea jamaa kesho yake angekua asharuka mahakamani anavuliwa kiti fasta, ila bongo utasikia hadi pombe anaamka kumkumbatia vizuri. Wabongo hamtokuja kuendelea kamwe kwa ujinga huu mark my words. Ignorants wako wengi mno bongo there's really no way out of that shit hole unless ignorants wapungue.
 
Albert bashite, gambo, nyeti, na wengine kama hawa ni hasara kubwa sn kwa taifa ukizingatia wamepewa mamlaka makubwa kias cha kuumiza wengine wanaowapinga uhsenzi wao.
 
Hivi watanzania tumekuwa wapumbavu namna hii?? With this all shit watu wanashangilia?? Hao wazee ni wapumbavu. Hawa mbwa wa JPM wanakunya kila mahala mwenyenao anatazama tu na kuwakumbatia??? Why was I born in tz?
 
Huyu hawajui wana arusha. Arusha lazima ukubalike na makundi yafuatayo, vijana, na matajiri wa jiji. Na wamama.

Hawa wakikukataa... hata uje na jeshi hutoboi uchaguzi.
 
Ukisikia lugha za ibilisi shetani ndio hizi. siku zote hiki chama kinahubiri amani ila kwa nyuma wameficha majambia, mapanga. marungu, SMG, AK 47 nk.
Amani yetu inavurugwa na ccm na sio upinzani.
 
Back
Top Bottom