part iv nayo muhimu...lakini aangalie asije akawa ashatangulia kwa Sir GOD....maana hujui na huyo atalipa kwa lipi....
Hivi mbona nyie wanawake mnatetea upuuzi alioufanya mwenzenu? Huo ni unafiki, mnajifanya mnapendana hapa wakati wanawake mnajulikana hampendaniKama anaperform wanaweza waka overlook hilo kosa na kumshauri asome part time. Hautakuwa umeachieve chochote.
Hivi mbona nyie wanawake mnatetea upuuzi alioufanya mwenzenu? Huo ni unafiki, mnajifanya mnapendana hapa wakati wanawake mnajulikana hampendani
duh ila kuna miwanaume ina roho mbaya..chaa haya tumekusikia..
Sio roho mbaya tu pia wanatabia za kike kabisa sasa ili iweje.
duh ila kuna miwanaume ina roho mbaya..chaa haya tumekusikia..
Kwahiyo sababu you are bitter means everyone has to follow suit, that's Mad Man.
usisahau kuleta mrejesho part III ukishakinukisha na kusikia yanayojiri huko kazini kwake
1. Kwa nini unaomba ushauri wakati hutaki kushauriwa?
2. Binafsi naona kama ulijua aligushi vyeti na hukumchomea kwa vile alikuwa girlfriend wako, kwa nini umchomee kwa vile amepata mwingine? Itakusaidia nini. Pengine wewe mwenyewe ndiye umesababisha hayo.
3. Je, kama na yeye anajua ambayo umefanya kitu mbaya (hata kama hukumbuki na akikuchomea kitakuwa na madhara kwa maisha yako whether ni ukweli au uwongo) na yeye akuchomee ili yeye afanye tit for tat?
4. Najua watu waliokorofishana na kuachana 1958 na wakarudiana 1980. Maisha ni safari ndefu!
5. Katika kuachana you never know who was wrong: anaweza kuwa yeye au wewe hata kama unadhani au kuamini siyo wewe.
6. Haya mambo yanahitaji busara sana kuliko emotions.