nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,923
- 1,325
Bahati nzuri nimewahi kuzungumza na msanii aliewahi kuingizwa mkenge na Clouds FM, bila kuuma maneno pale lipo GENGE la matapeli, wakiitumia taasisi yao iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria za nnchi hii.
Miaka ya nyuma GENGE hilo lilikua linamjumuisha Masoud Kipanya, Fina Mango,Gadner Habash, Ruge mwenyewe na kina B12, HAWA WAMEWADHULUMU SANA WASANII WA TZ.
Wanachofanya wanautumia udhaifu wa wasanii wetu kutokujua mambo mengi hasa ktk mikataba kuweza kuwadhulumu.
Wanautumia umasikini wao kuweza kujineemesha. Wanawagawa kisha wanawaibia....
Mimi naamini tunakoenda tutayaona mengi nakuyasikia mengi.