Mpoki a.k.a Bepari la kihaya

watu bwanaaa majina hayohayo yakitajwa kwenye nyimbo za twanga pepeta,FM academia,Akudo Impact............ tunazichekelea na kuzifatisha kuimba huku tukitoka jasho kulicheza sebene , lakini akitaja mpokiii oooooh naboreka ................... acheni chuki binafsi, au mkuuu ndo wale kundi la akina kanumbaa? hahahha maana sidhani kama kanumba na wenzie wanataka kuwatch ze comedy........... wana hasira haoooooooooo

eeehe heee heeee nicheke kimaisha plus mie
 
style anayoitumia mpoki wa origino komedi, ile ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inapunguza radha ya kipindi na kutudhalilisha sisi wahaya au kijana akitoka ktk kipindi anaenda kulipwa kwa kuwarusha hao watu hewani????
analipwa na hao jamaa ILA INAKERA
 
katika segment ninayoipenda ni hii ya bepari la kihaya...yaani bora wasioneshe kitu ila hiyo...kwetu sisi ni sifa kwanza ndo whaya wamesoma sana nchii hii hasa kule kanyigo. pia ukiwa muhaya umesoma kisha una mihela kama bepari mpoki...huku unaongea kile kizungu cha kihaya penye R unaichanganya na L yaani "we need to check their serlostatus (serostatus) zao" huyo ni dk wa kihaya...nje amepaki BMW..wahaya we acha tu. MPOKI nakufwagilia kinomaaaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom