Mpoki a.k.a Bepari la kihaya

JP
Asante kujitambulisha kuwa nawe ni mmojawapo.Kama walivyosema wengi hapo juu..ukiona hakikufai basi badili chaneli tu - simple as that.Ukilalamikia umma ukuunge mkono ati unakera ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
 
pia mpoki nilikuwa namzimia sana ila kazidi 50% ya sehemu yake ni misifa iko too boring stuff bwana

hebu abadilike kidogo anachonga sana

lakini kwa ujamla nawapenda Ze Komedi
 
Jamani jamaa huwa akimuigiza Komba huwa anampatia kinoma jamaa anakipaji.
 
Mpoki punguza kutaja majina ya watu kwani walio wengi hawapendi.

Hacha kuonesha nikiasi gani hauko styled up. try to disign some thing else coz we are getting used of the stuff you talk every day.

People stop critisizing them just advise them on what to do ok.
aliyekuambia hawataki kutajwa nani?sasa wenzio wanatoa hela ili wawe wanatajwa tajwa
 
Jamani jamaa huwa akimuigiza Komba huwa anampatia kinoma jamaa anakipaji.
mkuu umenikumbusha mbali hasa ile siku aliyokuwa anamuigiza anamsifia mama nagu,,hahaaaaaaa it was nice stuff to watch
 
JP
Asante kujitambulisha kuwa nawe ni mmojawapo.Kama walivyosema wengi hapo juu..ukiona hakikufai basi badili chaneli tu - simple as that.Ukilalamikia umma ukuunge mkono ati unakera ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

Ndugu yangu kama anaona hakikufai basi aripoti polisi hii ni kusumbua watazamaji wa TV. Hukuona post za jana mbunge wa CUF alipelekwa mahakamani mjini Tanga kwa kukera watu waliokuwa jirani wakati anahutubia mkutano wa hadhara?
 
style anayoitumia mpoki wa origino komedi, ile ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inapunguza radha ya kipindi na kutudhalilisha sisi wahaya au kijana akitoka ktk kipindi anaenda kulipwa kwa kuwarusha hao watu hewani????
watu bwanaaa majina hayohayo yakitajwa kwenye nyimbo za twanga pepeta,FM academia,Akudo Impact............ tunazichekelea na kuzifatisha kuimba huku tukitoka jasho kulicheza sebene , lakini akitaja mpokiii oooooh naboreka ................... acheni chuki binafsi, au mkuuu ndo wale kundi la akina kanumbaa? hahahha maana sidhani kama kanumba na wenzie wanataka kuwatch ze comedy........... wana hasira haoooooooooo
 
style anayoitumia mpoki wa origino komedi, ile ya kujifanya iko na hela nyingi na kutajataja watu majina inanikera sana na naona kama inapunguza radha ya kipindi na kutudhalilisha sisi wahaya au kijana akitoka ktk kipindi anaenda kulipwa kwa kuwarusha hao watu hewani????
ina kera any atafute njia nyingine alafu anatakiwa aende course ya english atleast kusute na wazangu
 
Jamani, ile ni uchekeshaji tu - dont take it seriously, after all that is what hayas behave.
 
mpemba wapembue walokosa akili hadi kubwata ovyo.
Lakiniiiiii,ndivyo mlivyo kama siye wapemba.
 
aliyekuambia hawataki kutajwa nani?sasa wenzio wanatoa hela ili wawe wanatajwa tajwa

naona jana hawakutoa hela nyingi,jana angalau haikuboa sana ingawa aliwataja lakini si sana kama siku zote anavyofanya
Masanja jana umenikosha

keep it up
 
Mugo"The Great";591462 said:
Kinachonisikitisha kutoka kwenye Komedi original ni ile style yao ya kuwacheka watu ambao biashara zao zimeyumba kuwa wamefulia. Hata uchumi wa nchi huwa unayumba sembuse mtu mmoja. Wasiwasi wangu ni kuwa msemo huu utakuja kuwasuta hapo baadaye watakapofulia manake sio sustainability yao beyond 5-10yrs kuanzia sasa.

try to look at it using the third eye, you'll find a good reason behind it. waswahili tukifanikiwa kidogo tu au tukiwa maarufu huwa tunajisahau sana .... dharau nyingi, mapozi ya kufa mtu, kiburi ... etc etc
so that section was meant to educate watu kama hao ... inaelimisha, inaburudisha, inafurahisha ... it's just a comedy!!

btw nadhani hiyo section wameshaiondoa siku hizi ... :)
 
Tatizo la kifilosofia, tusitake kila mtu awe na mtizamo sawa na mwengine hii ni kweli kabisa tupo tofauti ndoomaana kuna masanja,mpoki na asha ngedele utakuta kila mtu anapenda jinsi asha anavyoigiza mwingine anapenda Masanja binafsi huwa napenda jinsi mpoki anavyoigiza ni safi sana anajitaidi.
Let say kwenye Second chance napenda Walter na yule bibi jinsi wanavyoigiza unakuta mtu mwingine anapenda Salvado tukubaliane tu na jinsi hali ilivyo maana ndivyo mpoki kabuni.
Keep it up! Mpoki.
 
mie nakutuma bwana kamwambie apunguze kidogo maneno asilia kubwa ya kipindi anaongea sana ...au ndo maana ya komedi hiyo

mwanaumeeeeeeeee- endeleaaaaa- shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Wachekeshaji wenye vipaji pale ni wawili tu..Masanja na JOTI.

Wengine wanafuatia tu
 
ndio maana inaitwa comedy..usimaind visivyo na maana mbona kuna mambo mengi ya kufanya, tafuta shamba ujipange na kilimo mwaka huu kuna mvua sana.
 
mie nakutuma bwana kamwambie apunguze kidogo maneno asilia kubwa ya kipindi anaongea sana ...au ndo maana ya komedi hiyo

mwanaumeeeeeeeee- endeleaaaaa- shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

sita muongelea mpoki, ila huyu firstlady anaeonekana kwako, DAH kiukweli mtoto amesettle anafaa kuoa..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom