Mpharmacia anahitajika!

Thomas Juma

Member
Nov 9, 2010
88
17
Habari ndugu wana jf,
Nimatumaini kuwa tumeamka salama kabisa tuombe Mungu pia atujalie afya njema na kutubariki tuweze kupata mkate wetu wa kila Siku.
Ndugu wana jamvi Mimi natafuta mpharmacia ili tuweze kufanya nae biashara ya duka la dawa za binadamu maana tusio na taaluma tunapaswa kushirikiana na wenye taaluma husika ili kwa pamoja tuihudumie jamii kwa umakini na usahihi.Biashara hiyo ya duka la dawa itafunguliwa Mwanza mjini.
Natanguliza shukrani zangu za dhani kwa mtu mwenye taaluma husika na yupo tayari kufanya kazi na Mimi naomba tuwasiliane nae kwa namba 0755501400.
Ahsanteni sana.
 
Back
Top Bottom