ni kawaida mbona. Kina dada wako emotional sana. Ungemsikia huyu mwingine kanywa sumu kisa kanumba kafa. Anadai imemuuma sana kuliko hata kaka yake alipofariki. "imemuuma sana yani". Bahati mbaya hakufa kama alivyotaka maana walimuwahi.
NB: Nadhan hata kumuona live hajawahi. Wabongo hao.
Jamani wanaume mna wivu!!!kuna mwngne eti wanaangalia movie tu mwanaume kafa ktk hyo movie mpnz wake katokwa na vijichozi kidogo tu mwanaume wake kakasirika mpaka na ile CD kaikatakata...jamani nyie mmmh!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.