Mpenzi wangu kamlilia sana Kanumba!! (Ushauri Pls)

Mie niligombana na mpenzi wangu kisa eti Kanumba. Aliniambia kama angekuwa na uwezo angempiga Llu bastola kwa kumuua Kanumba.
 
Kama angekua hakupendi asingekua mpenz wako instead angekua mpenz wa kanumba(R.I.P),kumlilia m2 ni emotional thing kuna wengine kulia ni kipaji 2..
 
Boflo analiwa mbaya kwa nin anajiita boflo, mtoto wa watu ataacha kutamani wanaume wa ukweli. Boflo chakula ya watu. I wish nimuone boflo.
 
Na wewe ukisikia tu Lulu ameachiwa furahi sana na ikiwekana ruka ruka kidogo.Hapo itakuwa ngoma droo.
 
ni kawaida mbona. Kina dada wako emotional sana. Ungemsikia huyu mwingine kanywa sumu kisa kanumba kafa. Anadai imemuuma sana kuliko hata kaka yake alipofariki. "imemuuma sana yani". Bahati mbaya hakufa kama alivyotaka maana walimuwahi.
NB: Nadhan hata kumuona live hajawahi. Wabongo hao.
 
Jamani wanaume mna wivu!!!kuna mwngne eti wanaangalia movie tu mwanaume kafa ktk hyo movie mpnz wake katokwa na vijichozi kidogo tu mwanaume wake kakasirika mpaka na ile CD kaikatakata...jamani nyie mmmh!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom