Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
POLE MKUU ,HII WIN-WIN SITUATION NI SHIDAJamani nisaidieni huyu mwana mke simuelewi sijui ndo usomi mimi na yeye wote tume graduate mwaka jana.mkewangu akiwa na mimba tulielewana kuwa akiwa mtoto wa kike jina amchagulie yeye na akiwa wakiume jina nitampatia mimi.tatizo likaja baada ya mtoto kuzaliwa akazaliwa mtoto wa kiume me nilikuwa mbali na yeye alikuwa mbali coz tumeajiriwa mikoa tofauti. Nilipo mtajia jina alikubali but baada ya siku mbili ana niambia yeye atamuiata jina lake ambalo ni jina la kaka yake la kwangu ana niambia ndugu zangu ndo wamuite hili la kwangu. Ivyo hadi saizi mtoto wangu wana muita jina hilo ambalo mimi pia silitaki nisaidieni jamani
SWALI LA MSINGI NIMEBAKI NAJIULIZA KWANINI ANALIKATAA HILI JINA SASA KAMA MWANZONI KABLA MTOTO AJAZALIWA ALIKUBALI
NAAMINI ULIMHINT HILO JINA NDIO MAANA HATA AKALIKUBALI ,SASA IWEJE SASA HIVI ANALIKATAA... ?
AMEANZA KUAPPLY ZILE LAW ZAO ZA UPANDE WA PILI USIPOKAANAE AKAJUA NAFASI YAKE NA NAFASI YAKO ATAKUJA NA JINGINE NA BELIEVE MAMBO YATAKUWA SIO MAMBO .
"I do insist on making what I hope is sense so there's always a coherent narrative or argument that the reader can follow. "- Howard Nemerov