Mpenzi wangu ananitisha nisaidieni..

mlokole mkatoliki ndiyo dini gani............................ndiyo nimeisikia leo.................tatizo ni wewe una very low self-esteem...........ahata hao unaowadharau kuwa ni saizi yako ujue kama hujiamini kiroho kitakuwa kinakusumbua................maana njemba mtaani zipo kunusanusa visivyo vyao..........

mkuu Rutashubanyuma wapo hao watu, ni walokole na ni wakatoliki nommonly known as wakarismtiki wakatoliki.... enewei sio topiki kuu hapa, ila kuhusu kujiamini kiroho nadhani ni kama nilivyomwambia hapo juu, ajipange kwa maombi yeye mwenyewe, ajiamini na amuangalie Mungu zaidi
 
Last edited by a moderator:
mlokole mkatoliki ndiyo dini gani............................ndiyo nimeisikia leo.................tatizo ni wewe una very low self-esteem...........ahata hao unaowadharau kuwa ni saizi yako ujue kama hujiamini kiroho kitakuwa kinakusumbua................maana njemba mtaani zipo kunusanusa visivyo vyao..........

Ana ugonjwa wa kutojiamini huo.......na hili litammemena sana,....kama hawezi bora awaachie wenye kisu.
 
Sikiliza kijana, wewe umempendea appearance au kuna something good in her heart?
Why don't you trust her? Hakuna mahusiano yasiyokuwa na doubts wote at some extent tunagamble..ila wewe kitakachokuja kuharibu hayo mahusiano ni huko kutojiamini...hakuna kitu kibaya kama hicho we jua tu...
If you think you deserve her you deserve her- if you think you dont deserve her, you are right!
 
Tatizo lako ni kutojiamini. Popote uendapo, hata ungekuwa Bill Gates sasa hivi wapo wanaume wenye pesa kumzidi. Kila siku kutakuwa na mwanaume mzuri kukuzidi na mwenye pesa na position nzuri kukuzidi. Mpenzio anakupenda and she is proud of u ndo maana kakutambulisha. Unataka nini zaidi? Ukiwa na kabwela mwenzio atatakwa pia. Jiamini, furahia maisha!
 
acha mbwembwe kijana hakuna dem mzuri kiivo mpaka, mapedezee, malecturer, raia. ndugu, nk wote wamtolee macho yeye kawa malaika, sema demu wako mawenge mengi anatolea macho wanaume thats why wanamsumbua, we kama unaona huwezi kummantain wacha raia wamalizane nae, asikudanganye mtu madem asilimia 90 wanamabwana zaidi ya wawili, wake up youngster.
 
Mimi ni mvulana ambaye ndo kwanza naanza maisha tatizo la ajira nahisi limenifanya nijishughulishe na vibiashara vyangu vidogovidogo ambavyo vina nipa kula na mahitaji mengine.Katika maisha yangu ilitokea nilifanya mambo mengi ya kishujaa kwa msichana ambaye nipo nae hadi sasa.Nashukuru MUNGU kwa kujitoa kwangu kufanya mema kwa huyu msichana ikambidi anieleze kuwa nastaili kuwa mpenzi wake kitu ambacho sijawahi kuota.Huyu msichana kwa kweli ni mzuri sana pia ni mlokole mkatoliki.Uzuri wake umekuwa gumzo machoni na midomoni mwa watu.
Kilichonisibu kuandika ni hivi:Huyu binti hana bahati ya kutongozwa na watu wa hali chini labda wengi wao wanamtania ila watu wenye pesa wanamzonga sana mpenzi wangu japokuwa ananieleza nisihofu atayashinda majaribu na mbaya zaidi imefikia hatua hata ndugu zake wa kiume kumtongoza jambo ambalo linanitisha.Bado ni mwanachuo ila huko nako malecturez and staffs wa pale chuo wanamsumbua kwa kasi mno juzjuzi kaanda sherehe ya birthdei wamekuja watu wenye mausafiri ya gharama na zimetolewa zawadi za kutisha hadi moyo wangu umeingia hofu.Namshukuru mpenzi wng kwa kunitambulisha kama mtu wake mbele ya umati ule lakini BADO KICHWA CHANGU KINALOAD SANA NAHISI HAYA MAHUSIANO YATAENDA KUNICHACHIA HUKO MBELE YA SAFARI kwa maana najiuliza ataweza kuruka vikwazo vya hawa watu wenye hela kushinda mimi mpenzi wake.KWA KWELI NATUMIA ENERGY NYINGI KULEA PENZI LANGU HUWA NATAMANI HATA NINGEMPATA ZOMBIE MWENZANGU NISINGEKUWA NA HOFU KAMA HII.Nisaidieni nitumie technique gan kumlea huyu mtoto ambae naona sio hadhi yangu hadi wazazi wangu wanaoneshwa kuwa na hofu nae kutokana uzuri wake umekuwa exeption sana.

Dada wa watu kakutambulisha hadi kwa hayo mafataki, what else you want mkuu? sasa huko kukosa kwako confidence ndo kutamfanya afikirie kuwa kaingia choo cha kiume. Onesha uanamume wako mkuu, make her feel kuwa despite all that but you are still strong with her, show her that you don't care anything than love you have for her and you appreciate her. You are with GOD and they are with their Money.
 
Mbona mie nimeshavuka umri wa lifespan ya mtanzania na bado natongozwa na wanaume elfu kwa siku? Karibu nitaajiri PA wa kuchambua applications@kongosho. Theory yako ina risechi pepa oxford?
Kuna umri wa kutongozwa na watu kama elfu kwa siku kwa kila mwanamke, hasa kati ya miaka 16 - 26
 
kama unaona amekushinda nibinafsishie mimi naweza kupambana na hiyo hali.
 
Jiamini kama anavyojiamini mpenzi wako.
yaah jamaa kinachomsumbua ni kutojiamini.nahisi anahitaji msaada wa kimawazo kuweka sawa msimamo na ujasiri wake.
Hakuna mtu aliyeumbwa kwa ajili ya watu wa namna fulani tu...
He should know tht,Every one deserve good thing,no matter what...
 
Na akumbuke aliwazalo mjinga ndilo litalomtokea
 
Acha ujinga wewe wazuri ni wengi sana humu duniani na wengine wanakua kama Mungu amekupangia huyo atakuwa wako tu usitake kujiumiza kwa lolote kama Mungu hajakupangia huyo usijali, utampata mzuri zaidi ya huyo wako wengi sana. Fanya biashara zako muombe Mungu akusaidie ufanikiwe kimaisha utashangaa utakavyogombaniwa na warembo wazuri kuliko huyo na utamchagua mmoja kwa kuongozwa na Mungu katika sala. Usishangae mrembo wako akianguka kwasababu wanaudhaifu tokea enzi za Adam na Eva, Eva alidangangwa na nyoka akadanganyika akamshawishi Adam kufanya dhambi ya kula tunda la katikati wakalila na kukutwa wakiwa uchi. Muombe Mungu amuongoze ayashinde majaribu ili awe wako kama ni mapenzi ya Mungu.
 
Hali ndio zinazonipunguzia confidence ila naamini ananipenda swali linalozunguka kichwani mwangu ni je ataweza kukwepa mitego ya noti?

kwani wewe kapuku ulimpata huyo mtoto kwa mtego wa noti?..kama jibu ni ndio..basi ujue hana ujanja na lazma akija pedeshee mwanye kisu kikali utakuwa bushoke tuuu...ila kama jibu ni hapana basi hata aje huyo role model wako bill gates bado atamkatalia na kubaki na wewe kapuku sijui kakupendea nini..may b una mashine kubwa na wajua kuitumia vizuri....

pole sana kwa kutothamini penzi ulilopewa na mtoto mzuri anayezuzukiwa na mapedeshee..

by the way demu wako ni dent na ame-throw big bday party..uliiandaa wewe mwenyewe kwa pesa yako ya ngama au ndio hao waalikwa mapedeshee walikuandalia???..usijione fahari kutambulishwa kama mchumba wake wakati wapo ankali zake wanamlea na kukuchapia..pole weee...you must pay the cost to ride a white horse.
 
Utalinganisha na ulivyokuwa tineja?
Sasa hivi anatokea mmoja au wawili

Lakini ukiwa binti hata kutoka nyumbani unaogopa maana ni msururu wa watu.

Kumbuka tu kipindi kile, ilikuwaje. King'asti

BTW, nina risechi pepa ya politishan inteneshno engineering bledi.

Mbona mie nimeshavuka umri wa lifespan ya mtanzania na bado natongozwa na wanaume elfu kwa siku? Karibu nitaajiri PA wa kuchambua applications@kongosho. Theory yako ina risechi pepa oxford?
 
mwenye maamuzi yote ni huyo binti-kama atakuwa na tamaa hata ungekuwa na Tsh ngapi angekumbia tu,
kama ni mwelewa wa mambo atatulia na wewe tu
 
We hujiamini,nafikiri huyo binti akisoma humu atakuacha! Hakuna ki2 kibaya kama m2 despite ya mazingira anajaribu by any means kukuonyesha kiasi gani anakupenda ili ujisikie secured ktk relationship mpaka anakutambulisha then anaambulia doubt! Tena frm maelezo yako alikupenda wwe 1st! Ktk definition ya LOVE nayoijua mimi hakuna neno MONEY in between hata karibu yake! Jiamini kijana,be a man.
 
Uzuri wa mwanamke ni tabia,halafu huyo shori kakupenda,sema hujielewi elewi labda,angetaka pesa,angewafata mapedejee hao unaowasema.kama mzuri naka tulia,shida ya nini?Kakupenda wewe.tulia kijana.
 
Pia ngoja nikutie moyo,despite kwamba hujiamini unajiringanisha na wengine,u'r NOT WENGINE u'r YOU sawA! Sasa fanya self assessment oky inaitwa SWOT analysis,kwa leo nitakueleza herufi mbili tu ktk neno SWOT yani S kama Strength,angalia what is ua Strength kijana,hiyo ndio ki2 kinachomfanya akupende wewe zaidi hivyo huna budi kubase sana ktk u'r Strength ok,W ni Weakness,hapa usiangalie Weakness zako bt za hao Jamaa,simply kama anakuja kwako means wale wana WEAKNESS ktk vitu ambavyo yeye binti anahitaji ambavyo kwako ni STRENGTH ok. Nawe sasa utajiona u'r above em. Hata MIMI nimepata msichana mzuri SAAANA,MZURI AISEE,ila i know my STRENGTH hivyo nina AMANI TELE. Work on ths nimekupa USHAURI WAKITAALAMU ambao usingeupata BURE ila life nikusaidiana pale unapoona UNAKAUELEWA ZAIDI.
 
acha mbwembwe kijana hakuna dem mzuri kiivo mpaka, mapedezee, malecturer, raia. ndugu, nk wote wamtolee macho yeye kawa malaika, sema demu wako mawenge mengi anatolea macho wanaume thats why wanamsumbua, we kama unaona huwezi kummantain wacha raia wamalizane nae, asikudanganye mtu madem asilimia 90 wanamabwana zaidi ya wawili, wake up youngster.

Watu wengine bana! Is that what you think in your head?
 
Acha ujinga wewe wazuri ni wengi sana humu duniani na wengine wanakua kama Mungu amekupangia huyo atakuwa wako tu usitake kujiumiza kwa lolote kama Mungu hajakupangia huyo usijali, utampata mzuri zaidi ya huyo wako wengi sana. Fanya biashara zako muombe Mungu akusaidie ufanikiwe kimaisha utashangaa utakavyogombaniwa na warembo wazuri kuliko huyo na utamchagua mmoja kwa kuongozwa na Mungu katika sala. Usishangae mrembo wako akianguka kwasababu wanaudhaifu tokea enzi za Adam na Eva, Eva alidangangwa na nyoka akadanganyika akamshawishi Adam kufanya dhambi ya kula tunda la katikati wakalila na kukutwa wakiwa uchi. Muombe Mungu amuongoze ayashinde majaribu ili awe wako kama ni mapenzi ya Mungu.

Umeongea vitu vizuri sana ngoja niwashe PC yangu nikugongee like
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom