Mpenzi wangu ananitisha nisaidieni..

mtoto wa kiume make sure unatimiza wajibu wako kwa huyo mpenzi wako then jiamini mzee kama ni wa kwako atakuwa wako tuu bila hata kumlazimisha ikitokea amesepa basi ujue haikuwa bahati yako.. cha msingi kama kijana work hard kwa malengo tengeneza pesa za kutosha zitakusaidia kuongeza confidence
 
wenye kisu ndo hula nyama sawa ila hushba mapema wewe utakula mwenyewe mpaka mfupa,ebwanae ukishamlala mwanamke ni wako 2 at anytime,so jiamin usifanye jambo juu ya uwezo wako bali kile kdogo utoacho kitoe haina nouma,mwanamke mpe mapenz ya dhati,kama unampenda kwel usitoke nje,na pia penda kumpa mazingira au mjengee mazingira ya kuwa waz ktk mahusiano nawe uwe dynamic,i have once pased via the same isue,thank God ilifika mahal nkagonga moyo konde nkaweka wivu mkubwa pemben mpaka sa hv nafaid utamu wa kupendana
 
wewe
Mimi ni mvulana ambaye ndo kwanza naanza maisha tatizo la ajira nahisi limenifanya nijishughulishe na vibiashara vyangu vidogovidogo ambavyo vina nipa kula na mahitaji mengine.Katika maisha yangu ilitokea nilifanya mambo mengi ya kishujaa kwa msichana ambaye nipo nae hadi sasa.Nashukuru MUNGU kwa kujitoa kwangu kufanya mema kwa huyu msichana ikambidi anieleze kuwa nastaili kuwa mpenzi wake kitu ambacho sijawahi kuota.Huyu msichana kwa kweli ni mzuri sana pia ni mlokole mkatoliki.Uzuri wake umekuwa gumzo machoni na midomoni mwa watu.
Kilichonisibu kuandika ni hivi:Huyu binti hana bahati ya kutongozwa na watu wa hali chini labda wengi wao wanamtania ila watu wenye pesa wanamzonga sana mpenzi wangu japokuwa ananieleza nisihofu atayashinda majaribu na mbaya zaidi imefikia hatua hata ndugu zake wa kiume kumtongoza jambo ambalo linanitisha.Bado ni mwanachuo ila huko nako malecturez and staffs wa pale chuo wanamsumbua kwa kasi mno juzjuzi kaanda sherehe ya birthdei wamekuja watu wenye mausafiri ya gharama na zimetolewa zawadi za kutisha hadi moyo wangu umeingia hofu.Namshukuru mpenzi wng kwa kunitambulisha kama mtu wake mbele ya umati ule lakini BADO KICHWA CHANGU KINALOAD SANA NAHISI HAYA MAHUSIANO YATAENDA KUNICHACHIA HUKO MBELE YA SAFARI kwa maana najiuliza ataweza kuruka vikwazo vya hawa watu wenye hela kushinda mimi mpenzi wake.KWA KWELI NATUMIA ENERGY NYINGI KULEA PENZI LANGU HUWA NATAMANI HATA NINGEMPATA ZOMBIE MWENZANGU NISINGEKUWA NA HOFU KAMA HII.Nisaidieni nitumie technique gan kumlea huyu mtoto ambae naona sio hadhi yangu hadi wazazi wangu wanaoneshwa kuwa na hofu nae kutokana uzuri wake umekuwa exeption sana.

na wewe mtishe
 
Hivi Mkatoliki akishaokoka bado anaendelea kuwa RC?. Itabidi nikamuulize paroko wangu Fr. Manthuetus pale St. Joseph anieleweshe.
 
kaka yangu huwezi kumwamin m2 kama wewe mwenyewe hujiamini.anza kwa kujiamini mwenyewe then itakua rahisi kumwamini mwenzio.sisi wanawake 2naamini wote ni wazuri ndo mana 2natongozwa na 2napenda wanaume wanaojiamin hata kama ni mpaka rangi au muuza mihogo kikubwa ni kujiamin kwake.
 
Kilichonisibu kuandika ni hivi:.Bado ni mwanachuo ila huko nako malecturez and staffs wa pale chuo wanamsumbua kwa kasi mno juzjuzi kaanda sherehe ya birthdei wamekuja watu wenye mausafiri ya gharama na zimetolewa zawadi za kutisha hadi moyo wangu umeingia hofu.Namshukuru mpenzi wng kwa kunitambulisha kama mtu wake mbele ya umati ule lakini BADO KICHWA CHANGU KINALOAD SANA NAHISI HAYA MAHUSIANO YATAENDA KUNICHACHIA HUKO MBELE YA SAFARI kwa maana najiuliza ataweza kuruka vikwazo vya hawa watu wenye hela kushinda mimi mpenzi wake.KWA KWELI NATUMIA ENERGY NYINGI KULEA PENZI LANGU HUWA NATAMANI HATA NINGEMPATA ZOMBIE MWENZANGU NISINGEKUWA NA HOFU KAMA HII.Nisaidieni nitumie technique gan kumlea huyu mtoto ambae naona sio hadhi yangu hadi wazazi wangu wanaoneshwa kuwa na hofu nae kutokana uzuri wake umekuwa exeption sana.

Nilifikiri wewe ndio uliandaa hiyo birthday! pole sasa kwa kujikausha unajua kila kitu...kwamba unaibiwa, kutambulishwa ndio nini...umeniudhi kwa kujifanya hujui kinachoendelea.
 
bint wa chuo anakutana vipi na watu wenye mausafiri ya bei ghali hata mm ningehofu yaani mpaka uwaalike watu fulani kwenye bday yako ni mpaka wawe kwenye network yako tafakari chukua hatua
 
Mimi ni mvulana ambaye ndo kwanza naanza maisha tatizo la ajira nahisi limenifanya nijishughulishe na vibiashara vyangu vidogovidogo ambavyo vina nipa kula na mahitaji mengine.Katika maisha yangu ilitokea nilifanya mambo mengi ya kishujaa kwa msichana ambaye nipo nae hadi sasa.Nashukuru MUNGU kwa kujitoa kwangu kufanya mema kwa huyu msichana ikambidi anieleze kuwa nastaili kuwa mpenzi wake kitu ambacho sijawahi kuota.Huyu msichana kwa kweli ni mzuri sana pia ni mlokole mkatoliki.Uzuri wake umekuwa gumzo machoni na midomoni mwa watu.
Kilichonisibu kuandika ni hivi:Huyu binti hana bahati ya kutongozwa na watu wa hali chini labda wengi wao wanamtania ila watu wenye pesa wanamzonga sana mpenzi wangu japokuwa ananieleza nisihofu atayashinda majaribu na mbaya zaidi imefikia hatua hata ndugu zake wa kiume kumtongoza jambo ambalo linanitisha.Bado ni mwanachuo ila huko nako malecturez and staffs wa pale chuo wanamsumbua kwa kasi mno juzjuzi kaanda sherehe ya birthdei wamekuja watu wenye mausafiri ya gharama na zimetolewa zawadi za kutisha hadi moyo wangu umeingia hofu.Namshukuru mpenzi wng kwa kunitambulisha kama mtu wake mbele ya umati ule lakini BADO KICHWA CHANGU KINALOAD SANA NAHISI HAYA MAHUSIANO YATAENDA KUNICHACHIA HUKO MBELE YA SAFARI kwa maana najiuliza ataweza kuruka vikwazo vya hawa watu wenye hela kushinda mimi mpenzi wake.KWA KWELI NATUMIA ENERGY NYINGI KULEA PENZI LANGU HUWA NATAMANI HATA NINGEMPATA ZOMBIE MWENZANGU NISINGEKUWA NA HOFU KAMA HII.Nisaidieni nitumie technique gan kumlea huyu mtoto ambae naona sio hadhi yangu hadi wazazi wangu wanaoneshwa kuwa na hofu nae kutokana uzuri wake umekuwa exeption sana.

khaa!kumbe weye zombie?? Kama vipi change title maana wewe ndo utakua wamtisha mpenzi wako!!
 
kaka yangu huwezi kumwamin m2 kama wewe mwenyewe hujiamini.anza kwa kujiamini mwenyewe then itakua rahisi kumwamini mwenzio.sisi wanawake 2naamini wote ni wazuri ndo mana 2natongozwa na 2napenda wanaume wanaojiamin hata kama ni mpaka rangi au muuza mihogo kikubwa ni kujiamin kwake.

bora umwambie tu huyu mvulana.labda angekua mwanaume angejiamini.
 
bint wa chuo anakutana vipi na watu wenye mausafiri ya bei ghali hata mm ningehofu yaani mpaka uwaalike watu fulani kwenye bday yako ni mpaka wawe kwenye network yako tafakari chukua hatua

Nifundishe nichukue hatua gani?
 
acha mbwembwe kijana hakuna dem mzuri kiivo mpaka, mapedezee, malecturer, raia. ndugu, nk wote wamtolee macho yeye kawa malaika, sema demu wako mawenge mengi anatolea macho wanaume thats why wanamsumbua, we kama unaona huwezi kummantain wacha raia wamalizane nae, asikudanganye mtu madem asilimia 90 wanamabwana zaidi ya wawili, wake up youngster.

hehehehehe. .Ngoja nifunge maombi ya usiku kucha,ili wife aangukie kwenye hiyo 10% iliyobakia..Niepuke kum kanumba <rip> v\s lulu bure..
 
khaa!kumbe weye zombie?? Kama vipi change title maana wewe ndo utakua wamtisha mpenzi wako!!

Tehe tehe nilikuwa nimenuna umenichekesha vp nimekugusa nini? Mi sio zombie ila sina mahela ya kutosha ndio maana nina hofu vanila plz help me usinibeze
 
bint wa chuo anakutana vipi na watu wenye mausafiri ya bei ghali hata mm ningehofu yaani mpaka uwaalike watu fulani kwenye bday yako ni mpaka wawe kwenye network yako tafakari chukua hatua

Bora unisaidie kujiuliza hayo maswali ila wawili walikuwa ma assistant tuitor wa pale chuon kwao ni vijana wadogo waliotaka labda kutokana na pesa zao.
 
Nilifikiri wewe ndio uliandaa hiyo birthday! pole sasa kwa kujikausha unajua kila kitu...kwamba unaibiwa, kutambulishwa ndio nini...umeniudhi kwa kujifanya hujui kinachoendelea.

madam mi nilichangia sam part kwani ka uwezo kangu kaliishia hapo kama ujuavyo birthday haikuwa na gharama zaidi ya keki na ukumbi ila ugharama ulikuja pale kwenye zawadi walinishinda hata mimi mpenzi wa birthday girl.ROHO ILINIUMA SEMA TU SIKUPAONA PA KWENDA KUSHITAKI ndio maana nimewashirikisha movie nzima ili nisaidiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom