Mpenzi wangu amepigwa Risasi 3 Jana asubh...Hali yake ni mbaya.!

Supervisor vipi majeruhi anaendeleaje?
Jaman wana Jf majeruhi anaendelea vizur kidogo, kwa sasa anasumbuliwa na maumivu makali na muda mwingne anakuwa anashindwa kupumua vzr bt all in all Mungu anampigania sana
 
Jaman wana Jf majeruhi anaendelea vizur kidogo, kwa sasa anasumbuliwa na maumivu makali na muda mwingne anakuwa anashindwa kupumua vzr bt all in all Mungu anampigania sana

Mungu pamoja nawe bro....
 
pole saana, atapona la muhimu ni kumuombea tu kwa mola.Jamani jeshi lapolisi mko wapi? Mbona kwenye uchaguzi mlikuwa bize saana kuhakikisha watu hawaleti vurugu? Mmeenda likizo au nini hiki!!
 
Polisi wa Tanzania wanajua kuwapiga wamachinga na wananch wasio na hatia.
Usiku hawainui vichwa wanawaogopa wanaume
 
Niliona moja pale kuhusu member mmoja kafiwa Novemba,2013
Sio mbaya kuulizia hali japo huko Kigoma hayo ya kawaida sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom