Mpenzi wangu amepigwa Risasi 3 Jana asubh...Hali yake ni mbaya.!

Pole shemeji yangu na pole supavaiza kwa yaliyokukuta....Mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu na majeruhi wapate nafuu ya haraka..Amen
 
Pole sana Supervisor, may God give you strengths, with his graces all shall be well
 
Kwa vile mungu wetu ni mwema ebu tumwachie yeye tu ambae siku zote hujishugulisha na maisha yetu

akutie nguvu na moyo wamatumaini
 
Pole sana ndugu, tunamuombea sana kwa M'mungu na inshaallah ataweka uwezo wake na kumponya, Mungu akupe subra nawe katika kipindi hiki kigumu

Dah, ujambazi jamani... dola mko wapi au ndo yale yale nanyi ndo mnaotoa ratiba za magari?
 
it is indeed vey sad!ur thoughts and minds ar with you in this tearful moments, God is on your is on your side, be strong!!
 
Supervisor,pole sana. Uwe na amani mola atamponya. Pole ndugu.
 
Pole mkuu mtetezi wake yu hai atampa uzima tuu kwa imani
Ila hawa polisi wameshindwa kazi?
 
Amani na Utulivu aghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh, why kwenye kulinda visivyohitaji kulinda eg mikutano ya ccm, kutangazwa matokeo ya uchaguzi, kusambaratisha maandamano n.k tunaweka maximum security?
 
Pole sana kwa mkasa uliomkuta mwenzi wako wa moyo. Hata mimi kwenye mkasa huo nimepoteza rafiki yangu kipenzi Wilfred Peter muga aliyepigwa risasi ya kichwa na kufariki hapo hapo
 
oooh noooo jamani....Pole sana mkuu Supervisor...our Lord God will take care of everything.....be strong....Namtakia apone haraka!
 
Mungu akupe utulivu na uzidi kumwomba yeye! Tuko pamoja nawekatika wakati huu mgumu! Poleni sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom