Mpenzi wako anakutumia sms hii...! Utamjibuje...!

Mpenzi wangu, hali yangu ya kiafya sio nzuri, na hivyo muda wowote huenda nikatangulia na kuwaachia dunia hii; lakini mpenzi wangu kabla mapenzi ya Mwenyezi Mungu hayajatimia, ningeomba uniambie:

Ni kitu gani kizuri nilichowahi kukufanyia katika uhai wangu, ambacho hautakaa usahau.....!

Ni kitu gani kibaya nilichotokea kukufanyia kipindi cha mahusiano yetu, ambacho usingeweza kuisahau, na ningepaswa kupiga magoti unisamehe.....!

Ni neno gani ungependa kuniambia kama neno la kuagana....!

Ni nini unachokijua mwenyewe, ambacho ulinifanyia na sio kizuri, na hivyo ungependa nikusamehe kabla kifo hakijatutenganisha....!

sema tu ukweli japo unauma, lakn tambua ukimaliza ndo mwisho wake.

Mpenzi wangu, hali yangu ya kiafya sio nzuri, na hivyo muda wowote huenda nikatangulia na kuwaachia dunia hii; lakini mpenzi wangu kabla mapenzi ya Mwenyezi Mungu hayajatimia, ningeomba uniambie:

1. Ni kitu gani kizuri nilichowahi kukufanyia katika uhai wangu, ambacho hautakaa usahau.....!
2. Ni kitu gani kibaya nilichotokea kukufanyia kipindi cha mahusiano yetu, ambacho usingeweza kuisahau, na ningepaswa kupiga magoti unisamehe.....!
3. Ni neno gani ungependa kuniambia kama neno la kuagana....!
4. Ni nini unachokijua mwenyewe, ambacho ulinifanyia na sio kizuri, na hivyo ungependa nikusamehe kabla kifo hakijatutenganisha....!

1. Kunipa raha na kuniliwaza pale nilipokuwa na msongo wa mawazo. Kubwa zaidi ni wee kunizalia watoto mapacha.

2. Tabia yako ya wivu uliopita kiasi, kwa kweli sikuwa nikiipenda

3. Nakutakia maisha mema huko uendako, mola aiweke roho yako mahali pema peponi.

4. Kuna siku nlichelewa kurudi nikakudanganya nimechelewa kwa sababu ya foleni kumbe nilikuwa kwa rafiki yangu naangalia mpira. Nliogopa kukuambia ukweli sababu wee ulikuwa na wivu sana ungeweza kunifuata.

Mpenzi wangu, hali yangu ya kiafya sio nzuri, na hivyo muda wowote huenda nikatangulia na kuwaachia dunia hii; lakini mpenzi wangu kabla mapenzi ya Mwenyezi Mungu hayajatimia, ningeomba uniambie:

1. Ni kitu gani kizuri nilichowahi kukufanyia katika uhai wangu, ambacho hautakaa usahau.....!
2. Ni kitu gani kibaya nilichotokea kukufanyia kipindi cha mahusiano yetu, ambacho usingeweza kuisahau, na ningepaswa kupiga magoti unisamehe.....!
3. Ni neno gani ungependa kuniambia kama neno la kuagana....!
4. Ni nini unachokijua mwenyewe, ambacho ulinifanyia na sio kizuri, na hivyo ungependa nikusamehe kabla kifo hakijatutenganisha....!

hii usiombe mungu ikutokee... sitaki kufikiria :scared:

Eebwana huyo mtihani waweza tangulia kwa presha

nitamwambia nampenda sana.... and i will always love her nimemsamehe kama kuna lolote alinikosea ages ago... na nitamuomba yeye anisamehe mimi pia... na kumtakia safari njema atuandalie makazi...huko aendako...

hahahah Komenti zenu zinanichekesha mwenzenu daaah haya mambo ya kuwaza kabla jambo halijatokea mungu apishe mbali:redfaces:

Heri yako mshikaji, yaani kama ulikuwepo na mimi huwa najisikia kukosa amani kabisa mtu akianza kuzungumzia masuala hasa ya kifo.....Kila mtu anajua siku moja atakufa, sasa yanini kuzungumzia?? .....Gaadem shiiitiii!!!!!!!!!! :A S crown-1:

Hakuna SMS ndefu namna hiyo, maana SMS ni maneno 160. So hamna Hoja hapo. Lingine???

...Acha Kiherehere na Utumie ubongo badala yake. Si unazituma hizo 160 mara sita, saba hata kumi kama meseji tofauti ilimradi meseji yako nzima imetumwa??

Na wewe una kiherehere!! Kwanini utume ujumbe mara sita na wakati siku hizi simu zina maneno hadi 1000? Unaweza kuandika hizo message sita au kumi katika ujumbe mmoja lakini zitajigawa katika kulipia tu. Au bado mnatumia simu za kitochi?

Similar Discussions

Back
Top Bottom