Mpenzi wako anakutumia sms hii...! Utamjibuje...!

1.kuniambia unanipenda was the most beutiful thing that has ever happened in my life!
2.kutaka kuruka ukuta..lol
3.NAKUPENDA,nafasi yako hakuna atakayeiziba,uniombee na mie nikuombee mpaka tutakapoonana
4.mtoto wetu yule wa mwisho sio wako,ni wa yule houseboy wetu..LOL:embarrassed::embarrassed::embarrassed::redfaces:
Hahahah .......No 4 zinatokea sana usifanye joke, siumeona statistics za bong almost 50%!!:sad:
 
utamjibu basi naanza kulia mana ushanipa taarfa za kifo!!!au utamwambia khaaa mwenzangu vipi wewe leo jisms lako limenistua kama nini ebu wacha utani
 
Mpenzi wangu, hali yangu ya kiafya sio nzuri, na hivyo muda wowote huenda nikatangulia na kuwaachia dunia hii; lakini mpenzi wangu kabla mapenzi ya Mwenyezi Mungu hayajatimia, ningeomba uniambie:

  1. Ni kitu gani kizuri nilichowahi kukufanyia katika uhai wangu, ambacho hautakaa usahau.....!
  2. Ni kitu gani kibaya nilichotokea kukufanyia kipindi cha mahusiano yetu, ambacho usingeweza kuisahau, na ningepaswa kupiga magoti unisamehe.....!
  3. Ni neno gani ungependa kuniambia kama neno la kuagana....!
  4. Ni nini unachokijua mwenyewe, ambacho ulinifanyia na sio kizuri, na hivyo ungependa nikusamehe kabla kifo hakijatutenganisha....!
:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:
 
Nitamjibu hivi:

Mpenzi,

Salamu zao. Kabla ya kuaga dunia, naomba upendekeze tule nini wakati wa msiba wako. Jinsi ninavyokupenda mpenzi, nitagharimia shughuli zote za mazishi yako.

Dunia mapito, nami niko nyuma yako.

Mpenzi wako,

Kashaijabutege.
 
Huyo mpenzi gani anakua mbali na wewe siku za mwisho wa maisha yake jamani?
 
1.kuniambia unanipenda was the most beutiful thing that has ever happened in my life!
2.kutaka kuruka ukuta..lol
3.NAKUPENDA,nafasi yako hakuna atakayeiziba,uniombee na mie nikuombee mpaka tutakapoonana
4.mtoto wetu yule wa mwisho sio wako,ni wa yule houseboy wetu..LOL:embarrassed::embarrassed::embarrassed::redfaces:

Duuuh! atakufa dakika hiyohiyo.
 
Mpenzi wangu, hali yangu ya kiafya sio nzuri, na hivyo muda wowote huenda nikatangulia na kuwaachia dunia hii; lakini mpenzi wangu kabla mapenzi ya Mwenyezi Mungu hayajatimia, ningeomba uniambie:

  1. Ni kitu gani kizuri nilichowahi kukufanyia katika uhai wangu, ambacho hautakaa usahau.....!
  2. Ni kitu gani kibaya nilichotokea kukufanyia kipindi cha mahusiano yetu, ambacho usingeweza kuisahau, na ningepaswa kupiga magoti unisamehe.....!
  3. Ni neno gani ungependa kuniambia kama neno la kuagana....!
  4. Ni nini unachokijua mwenyewe, ambacho ulinifanyia na sio kizuri, na hivyo ungependa nikusamehe kabla kifo hakijatutenganisha....!
Mi ningemwambia kama anataka kwenda kwa amani ni bora nisimwambie vibaya nilivyomfanyia coz hivyo vitamuua hapo hapo na hataenda kwa amani!!
 
Mpenzi wangu, hali yangu ya kiafya sio nzuri, na hivyo muda wowote huenda nikatangulia na kuwaachia dunia hii; lakini mpenzi wangu kabla mapenzi ya Mwenyezi Mungu hayajatimia, ningeomba uniambie:

  1. Ni kitu gani kizuri nilichowahi kukufanyia katika uhai wangu, ambacho hautakaa usahau.....!
  2. Ni kitu gani kibaya nilichotokea kukufanyia kipindi cha mahusiano yetu, ambacho usingeweza kuisahau, na ningepaswa kupiga magoti unisamehe.....!

    [*]
    Ni neno gani ungependa kuniambia kama neno la kuagana....!
  3. Ni nini unachokijua mwenyewe, ambacho ulinifanyia na sio kizuri, na hivyo ungependa nikusamehe kabla kifo hakijatutenganisha....!

karatasi za urithi ziko wapi mpenzi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom