nina mpenzi wangu tuna muda wa mwaka mmoja toka tuanze mahusiano ,kila nikimuomba tufanye sex anakataa anadai bado mapema na tuanze kusex mwakani na anaongeza kuwa nitamchoka mapema na hicho ni kicho ndicho kitakuwa kipimo cha kuonesha kweli nampenda nikivumilia ilo, naombeni ushauri kweli huyu ananipenda au ananidanganya tu.