Mpenzi ataki kusex

cubic boy

Member
Jul 24, 2012
5
0
nina mpenzi wangu tuna muda wa mwaka mmoja toka tuanze mahusiano ,kila nikimuomba tufanye sex anakataa anadai bado mapema na tuanze kusex mwakani na anaongeza kuwa nitamchoka mapema na hicho ni kicho ndicho kitakuwa kipimo cha kuonesha kweli nampenda nikivumilia ilo, naombeni ushauri kweli huyu ananipenda au ananidanganya tu.
 
sex ktk relationshp ni ki2 muhmu sana na kinaimarisha uhusiano wenu,pengine wew ni wa stori2 mwenzio (boy)ndo anasexnay
 
ah huyo asilite zake hapa...kama hatoi K mpotezee bana...wat does she expect? u to become a master of masturbation!!!?
 
Hapo andika maumivu! Sasa we hizo hisia unapeleka wapi? Kama vip tafuta dem mwingine mapema.
 
makubwa nini nina mpenzi wangu siku ya kwanza nilipo mtongoza kesho kutwa yake nikajilia mzigo taratibu yani kwangu kwake kwangu kwake na alilijipimia mwenyewa sas nini miaka 7 kwenye mahusiahano yetu tunapendana vya kutosha ,,,,,,akikata usili mzigo temana naye isije mishapa yako ya kupitisha mbegu za kiume ikaziba bure mtoto wa watu

nawsilisha kutoka muhimbili
 
Join Date : 24th July 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given1

Umeingia JF jana kwa ajili ya kuuliza taka taka hiyo?

Mod ondoa ushenzi wa huyo ndugu hewani.....Shame on U.
 
nina mpenzi wangu tuna muda wa mwaka mmoja toka tuanze mahusiano ,kila nikimuomba tufanye sex anakataa anadai bado mapema na tuanze kusex mwakani na anaongeza kuwa nitamchoka mapema na hicho ni kicho ndicho kitakuwa kipimo cha kuonesha kweli nampenda nikivumilia ilo, naombeni ushauri kweli huyu ananipenda au ananidanganya tu.

Usijipe majibu tofauti mkuu wakati sababu aliyokupa umeisema mwenyewe hapo kwa red
 
Join Date : 24th July 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given1

Umeingia JF jana kwa ajili ya kuuliza taka taka hiyo?

Mod ondoa ushenzi wa huyo ndugu hewani.....Shame on U.

Mkuu kwako ni takataka, ila yeye lilimshinda ndo maana akaingia humu kuomba ushauri.Msipende kukatisha tamaa wenzenu
 
nina mpenzi wangu tuna muda wa mwaka mmoja toka tuanze mahusiano ,kila nikimuomba tufanye sex anakataa anadai bado mapema na tuanze kusex mwakani na anaongeza kuwa nitamchoka mapema na hicho ni kicho ndicho kitakuwa kipimo cha kuonesha kweli nampenda nikivumilia ilo, naombeni ushauri kweli huyu ananipenda au ananidanganya tu.

Kwani wewe kwa upande wako unampenda au unamtaka? Kama unamtaka tu hakufai kwani si vyema kukaa na hamu hadi mwakani lakini kama unampenda utamvumilia na kukubali matakwa yake ili umthibitishie kweli unampenda. Mvumilivu hula mbivu, pengine anakujaribu tu huenda ukaipata kabla ya nusu mwaka kwa kuonyesha uvumilivu.
 
Join Date : 24th July 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given1

Umeingia JF jana kwa ajili ya kuuliza taka taka hiyo?

Mod ondoa ushenzi wa huyo ndugu hewani.....Shame on U.
Madharau Kama haya yanaudhi sana .
Unamtusi mwezio ili nini tu ? Kwani walio jiunga
jana au Leo hawaruhusiwi kuuliza swali?.. Uache mambo
ya kitoto mkuu
 
Changanyikeni!
Wewe mjibu kufanya mapenzi kabla ya kufunga ndoa ni dhambi. Na mjiandae kuoana kabla ya mwakani. Ama bado mnakula ugali wa shkamoo?
 
sex ktk relationshp ni ki2 muhmu sana na kinaimarisha uhusiano wenu,pengine wew ni wa stori2 mwenzio (boy)ndo anasexnay

Kijana unampenda Yesu? Kama unampenda Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, basi zishike amri zake.
Na amri zake sio zile kumi tu, bali ni Biblia nzima.
 
makubwa nini nina mpenzi wangu siku ya kwanza nilipo mtongoza kesho kutwa yake nikajilia mzigo taratibu yani kwangu kwake kwangu kwake na alilijipimia mwenyewa sas nini miaka 7 kwenye mahusiahano yetu tunapendana vya kutosha ,,,,,,akikata usili mzigo temana naye isije mishapa yko ya kupitisha mbegu za kiume ikaziba bure mtoto wa watu

nawsilisha kutoka muhimbili

Maandiko yanasema mtakuwa mwili mmoja mpaka KIFO KITAKAPOWATENGANISHA.
 
Changanyikeni!
Wewe mjibu kufanya mapenzi kabla ya kufunga ndoa ni dhambi. Na mjiandae kuoana kabla ya mwakani. Ama bado mnakula ugali wa shkamoo?

hahahahaa jamani umeniacha hoi hapo kwenye ugali wa shikamoo, na it seems mtoa sredi bado ni mvulana,mwanaume kweli hawezi kutatizwa na issue kama hiyo..
 
Back
Top Bottom