mpeni ushauri......ungekua wewe ungefanyaje?

Me sidhani kam anatakiwa kunyamaza, me nafikiri antakiwa atafute njia ambayo atamweleza mwenzie ila bila mwizi kujua, lakini pia sio lazima amweleze kwa mdomo anaweza kutumia njia nyingine ambazo pia yule anaeibiwa hatajua taarifa zinakotokea ila2 atazipata na zikiwa za ukweli. Asipokua makini ataharibu urafiki wao wote wa3.
 
hapo hakuna urafiki wa watu wa3 maana huyo mwizi huwezi kumuhesabia kama rafiki,cha msingi viksey anatakiwa kumkanya na asiposikia amfukuze asikanyage kwake!
 
Kuna kitu kinanichanganya sana, hakinihusu mimi lakini kinawahusu watu muhimu sana kwangu, nina marafiki wawili, na ni wamama wenye familia zao na nimajirani zangu, ss mmoja kati yako anatembea na mume wa mwenzie wakati wote wawili ni mashoga zangu, ila huyo anaeibiwa hajui kama huyu rafiki yangu mwingine anamchukuwa mumewe, na huwa anamchekea kabisa na kujifanya rafiki yake, wanaongea vizuri sana,

Nilishawahi kumuonya huyu rafiki yangu, kwanza ukizingatia sisi ni majirani, pili huyu akisha kuja kujuwa itaniweka mimi pabaya sana, naona bora hata asingeniweka wazi juu yahili maana linaniumiza sana, kwakuwa huyo mwanaume ameshanogewa na penzi la nje, ameshaanza kujisahau, anamtesa sana mkewe , anampiga sana, anatishia kumfukuza, kitu kidogo tu kwake linakuwa kubwa, huyo dada huwa akipigwa na kufukuzwa anakuja kwangu, akifika kwangu anajieleza sana, na kusema nahisi mume wangu ana mwanamke mwingine,

maana mwanzo hakuwa hivi, anachowaza ni sahihi na mimi nalijuwa hilo, kinachoniuma zaidi sikumoja alipigwa sana mumewe usiku, akakimbilia kwangu, akamkuta na huyu mwizi yuko kwangu, akaanza kutueleza, nilimuhurumia sana, nikamwambia vumilia tu! lakini huy mwenzangu ambae ndie muhusika wa tukio, akawa anamshauri aondoke, aliniudhi sana na huwa namsema sana, lakini hasikii, najuta kwanini nimelijuwa hili, bora ingekuwa siri yao tu!

sasa kumwambia kuwa chanzo ni fulani, nashindwa maana wote ni mashoga zangu, Sasa hebu nishaurini, nimwambie tu liwalo na liwe, au nitaitwa mmbea niwaache tu mwenzie huku pembeni anajifanya anampenda, inaninyima raha sana hii.​

Wewe je vipi huna mume au boyfriend? Maana ukiona mwenzio ananyolewa, wewe tia maji. Huyo rafiki anayeiba mume wa rafiki yenu, ipo siku atakuibia mumeo pia.

Kama una sikio la kusikia na unisikie sasa! Huwezi kuwa na rafiki mwenye roho mbaya namna hiyo, yaani haoni huruma kwa mwanamke mwenzie kupigwa na kunyanyaswa na mumewe kwa ajili yake yeye anayemwibia mumewe?

She is a sadist and, as they birds of the same feather fly together,....you might be a sadist too.
 
Inawezekana na wewe unatabia kama ya huyo mama,maana mara nyingi ukijenga urafiki na mtu mwenye tabia fulani kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuwa na tabia hiyo, maana rafiki ni mtu mnaye share interest zenu. Huyo mama ni mpuuzi kwa nini uendelee kuwa na urafiki naye wakati unajua kabisa tabia yake hiyo inamuumiza mtu mwingine???. Inaweza kuwa vigumu kuchagua jirani lakini ni rahisi kuchagua rafiki.
 
Mwanamume akishapenda nje kazi kweli kweli kumuachisha, maana kishanogewa. Kumwambia mwanaume si suluhu, ataendelea tu, wewe mwambie huyo rafiki yako kwa njia ya siri, hata ukiweza weka mtego kwa uangalifu usijulikane. Akishajua atajipanga amrejeshe vipi mumewe msitarini, akishindwa amuache kwani hana pendo la dhati kwake huyo.

Kuhusu huyo dada mwizi, mpige stop kwako na uweke wazi kabisa kuwa marafiki wa aina hiyo huwataki, unless .....
 
Pole lakini huyu mwanamke mwingine mwenye kuiba mme wa mwenzie unatakiwa umfanyie cancelling aachane na mme wa mwenzie kama anaona raha iko siku atajutia
Mbona anatabia chafu sana ..na amewezaje kuwa rafiki yako..mwambie unakereheka na tabia zake chafu utamwambia mmewe kuhusiana na hili
Ila ingekuwa mie ningempiga stop kuja kwangu naona wewe una -mu-Entertain kwa nini????????????

Ndege wa aina moja huruka pamoja.

Bado naitafakari ile avatar yake....... (Soma katikati ya mistari hapo)
 
Kuna kitu kinanichanganya sana, hakinihusu mimi lakini kinawahusu watu muhimu sana kwangu, nina marafiki wawili, na ni wamama wenye familia zao na nimajirani zangu, ss mmoja kati yako anatembea na mume wa mwenzie wakati wote wawili ni mashoga zangu, ila huyo anaeibiwa hajui kama huyu rafiki yangu mwingine anamchukuwa mumewe, na huwa anamchekea kabisa na kujifanya rafiki yake, wanaongea vizuri sana,​

Nilishawahi kumuonya huyu rafiki yangu, kwanza ukizingatia sisi ni majirani, pili huyu akisha kuja kujuwa itaniweka mimi pabaya sana, naona bora hata asingeniweka wazi juu yahili maana linaniumiza sana, kwakuwa huyo mwanaume ameshanogewa na penzi la nje, ameshaanza kujisahau, anamtesa sana mkewe , anampiga sana, anatishia kumfukuza, kitu kidogo tu kwake linakuwa kubwa, huyo dada huwa akipigwa na kufukuzwa anakuja kwangu, akifika kwangu anajieleza sana, na kusema nahisi mume wangu ana mwanamke mwingine,​

maana mwanzo hakuwa hivi, anachowaza ni sahihi na mimi nalijuwa hilo, kinachoniuma zaidi sikumoja alipigwa sana mumewe usiku, akakimbilia kwangu, akamkuta na huyu mwizi yuko kwangu, akaanza kutueleza, nilimuhurumia sana, nikamwambia vumilia tu! lakini huy mwenzangu ambae ndie muhusika wa tukio, akawa anamshauri aondoke, aliniudhi sana na huwa namsema sana, lakini hasikii, najuta kwanini nimelijuwa hili, bora ingekuwa siri yao tu!​

sasa kumwambia kuwa chanzo ni fulani, nashindwa maana wote ni mashoga zangu, Sasa hebu nishaurini, nimwambie tu liwalo na liwe, au nitaitwa mmbea niwaache tu mwenzie huku pembeni anajifanya anampenda, inaninyima raha sana hii.​

Mwambie maana hakijua kutoka kwamtumwingine na akagundua na wewe ulikuwa unajua hawezi kukuelewa kabisa na ushoga waweza kuharibika
 
usimchekee mwizi huyo mama wala usimuite shoga yako......,si mtu mwema kama anamtenda mwezio ujue na wewe hashindiwi kukutenda unless mnafanana tabia.....mfukuze asije kwako na umtishie utasema....sawa mrembo
Mambo haya ni very complicated. Ilianzanzeeje mchezo ukafikia hapo bila vk kushtuka na kukataa uhusiano wa namna hiyo. Usimguse dude kwani hana kosa, waambie shoga zako wazi mambo yanayofanyika, unless huyo bwana ana sifa za ziada kwako. Kunyamza kimya ni kumlinda.
 
Kuna kitu kinanichanganya sana, hakinihusu mimi lakini kinawahusu watu muhimu sana kwangu, nina marafiki wawili, na ni wamama wenye familia zao na nimajirani zangu, ss mmoja kati yako anatembea na mume wa mwenzie wakati wote wawili ni mashoga zangu, ila huyo anaeibiwa hajui kama huyu rafiki yangu mwingine anamchukuwa mumewe, na huwa anamchekea kabisa na kujifanya rafiki yake, wanaongea vizuri sana,

Nilishawahi kumuonya huyu rafiki yangu, kwanza ukizingatia sisi ni majirani, pili huyu akisha kuja kujuwa itaniweka mimi pabaya sana, naona bora hata asingeniweka wazi juu yahili maana linaniumiza sana, kwakuwa huyo mwanaume ameshanogewa na penzi la nje, ameshaanza kujisahau, anamtesa sana mkewe , anampiga sana, anatishia kumfukuza, kitu kidogo tu kwake linakuwa kubwa, huyo dada huwa akipigwa na kufukuzwa anakuja kwangu, akifika kwangu anajieleza sana, na kusema nahisi mume wangu ana mwanamke mwingine,

maana mwanzo hakuwa hivi, anachowaza ni sahihi na mimi nalijuwa hilo, kinachoniuma zaidi sikumoja alipigwa sana mumewe usiku, akakimbilia kwangu, akamkuta na huyu mwizi yuko kwangu, akaanza kutueleza, nilimuhurumia sana, nikamwambia vumilia tu! lakini huy mwenzangu ambae ndie muhusika wa tukio, akawa anamshauri aondoke, aliniudhi sana na huwa namsema sana, lakini hasikii, najuta kwanini nimelijuwa hili, bora ingekuwa siri yao tu!

sasa kumwambia kuwa chanzo ni fulani, nashindwa maana wote ni mashoga zangu, Sasa hebu nishaurini, nimwambie tu liwalo na liwe, au nitaitwa mmbea niwaache tu mwenzie huku pembeni anajifanya anampenda, inaninyima raha sana hii.​

Mpendwa Vkeisy, kwanza nakupongeza kwa kushuka salama kutoka kwenye farasi!!

Lakini pia, wewe sio Rafiki mwema, kwa sababu pamoja na kwamba unaumia lakini bado unafurahia mateso ya mwenzako yaendelee. Kama hawa wa-mama wote wana waume zao na familia zao, Muite huyo mwizi mwambie in serious note kwamba aacha huo mchezo wake then muite huyo mume anayebanjuana naye, tell him kwamba kama hataacha kutembea na huyo mama which leads to mateso na dharau kwa mkewe then utafikisha ujumbe kwa mke wake na kwa mume wa huyo mama mwizi... na kumbuka, usiwe unatania in this... wape ultimatum.

Nakutakia kila ka kheri
 
we Nee...ma... ya mtu inaibiwa hivihivi unatazama tu. KUMAAAAAA NISHA NINI? tena itakuletea matatizo na wewe kwani huyo shoga anayeibiwa akijua ulikua unajua atakuchukuliaje...? Njia rahisi tu ya kumwambia ukweli rafiki yako anayeibiwa. MTUMIE MTU AMBAYE HAMJUI AKAMPE TAARIFA AU ANDIKA BARUA HATA KWA KUICHAPISHA ILI ASIJUE MWANDIKO KISHA FANYA UWEZAVYO UMPATIE BILA KUJUA NANI KAMPA UKIELEZA UHAYAWANI WA HUYO MWIZI.............................................................................
 
Alafu mnamlaumu Kikwete kwa kumshinda Lowassa?hahahahaha! Somethings are easier said than done. But the thing i have learnt is always stand by your principles! Kama wewe hupendi tabia hiyo...mweleze huyo rafiki yako anayeibiwa ukweli! Lakini kama unaona wizi huo ni sahihi...kaa kimya!

Swali langu: Je usingekuwa unamjua anayeibiwa, bado ungemshauri mwizi kuacha au ungebakiza ushoga wenu vile vile?
 
sasa kumwambia kuwa chanzo ni fulani, nashindwa maana wote ni mashoga zangu, Sasa hebu nishaurini, nimwambie tu liwalo na liwe, au nitaitwa mmbea niwaache tu mwenzie huku pembeni anajifanya anampenda, inaninyima raha sana hii.

vkeisy2006,
Sidhani kama unazo data za kutosha kuweza ku-conclude kwamba chanzo cha ugomvi ni huyo 'mwizi', yawezekana hiyo ni dalili tu ya tatizo. Inawezekano kuna tatizo jingine ambalo limepelekea huyo mume kutoka nje ('kuibwa'). Bila kutatua tatizo hilo hata kama huyo mwizi atamuacha bado atatafuta mwingine (si wapo wengi tu?).

Waliotangulia wamekupa ushauri mzuri tu. Achana na huyo shoga mwizi....mwambie wazi kwa kauli ambayo ataiheshimu....kwamba huwezi kuendelea kuwa rafiki yake kwa tabia aliyonayo.

If at all unataka kusema, basi sema tu kwamba fulani anatembea na mume wako (na uishie hapo). Kwamba hilo ndio chanzo cha ugomvi ama la, waachie wenyewe waamue.
 
Tafuta mazingira ambayo utapata ushahidi wa kuwa hao wawili wanahusiano baada ya hapo ongea na shoga yako huyo mwizi mwambie achague moja kuwa shoga yake kwa kuachana na huyo Baba au kuendelea na huyo Baba na ushoga wenu ufe. Aking'ang'anania kuwa anataka vyote (Ushoga na pia kuwa naUhusiano na huyo Baba) mwambie utamtafata huyo Baba na kumweleza kuwa tabia anayofanya ya kuchukua shoga wa mke wake ni mbaya na ni hatari. nahisi yaweza kusaidia ila kubwa ni kuachana ushoga na huyo Mama, anaweza huko baadae akageukia hata kwako uwe una Mume au rafiki.
 
Kuna kitu kinanichanganya sana, hakinihusu mimi lakini kinawahusu watu muhimu sana kwangu, nina marafiki wawili, na ni wamama wenye familia zao na nimajirani zangu, ss mmoja kati yako anatembea na mume wa mwenzie wakati wote wawili ni mashoga zangu, ila huyo anaeibiwa hajui kama huyu rafiki yangu mwingine anamchukuwa mumewe, na huwa anamchekea kabisa na kujifanya rafiki yake, wanaongea vizuri sana,

Nilishawahi kumuonya huyu rafiki yangu, kwanza ukizingatia sisi ni majirani, pili huyu akisha kuja kujuwa itaniweka mimi pabaya sana, naona bora hata asingeniweka wazi juu yahili maana linaniumiza sana, kwakuwa huyo mwanaume ameshanogewa na penzi la nje, ameshaanza kujisahau, anamtesa sana mkewe , anampiga sana, anatishia kumfukuza, kitu kidogo tu kwake linakuwa kubwa, huyo dada huwa akipigwa na kufukuzwa anakuja kwangu, akifika kwangu anajieleza sana, na kusema nahisi mume wangu ana mwanamke mwingine,

maana mwanzo hakuwa hivi, anachowaza ni sahihi na mimi nalijuwa hilo, kinachoniuma zaidi sikumoja alipigwa sana mumewe usiku, akakimbilia kwangu, akamkuta na huyu mwizi yuko kwangu, akaanza kutueleza, nilimuhurumia sana, nikamwambia vumilia tu! lakini huy mwenzangu ambae ndie muhusika wa tukio, akawa anamshauri aondoke, aliniudhi sana na huwa namsema sana, lakini hasikii, najuta kwanini nimelijuwa hili, bora ingekuwa siri yao tu!

sasa kumwambia kuwa chanzo ni fulani, nashindwa maana wote ni mashoga zangu, Sasa hebu nishaurini, nimwambie tu liwalo na liwe, au nitaitwa mmbea niwaache tu mwenzie huku pembeni anajifanya anampenda, inaninyima raha sana hii.​

Wewe una-enjoy hayo, balaa linakufuata. Ni bora uamue kuachana na marafiki hao wote kama huwezi kuwasaidia, maana unailea cancer. Mateso na majuto ya huyo anayepigwa yatalia juu ya nafsi yako. Furaha za huyo kahaba zitakuwa kilio chako.

Make up you mind.
 
Ni ngumu fulani hivi, ila jiulize hili:
Je ukiendelea kukaa kimya na huyo rafikiyo anayeteswa, kunyanyaswa na kupigwa hatimaye akafukuzwa utajisikiaje? Si ndiyo utajisikia vibaya mara mia kwa kutochukua hatua yoyote kusaidia?
Kama unaweza kubadili sauti, nenda kwenye callbox umwambie huyo anayeibiwa kuwa "inawezekana mumeo na fulani wana uhusiano zaidi ya ule wa kawaida, chunguza mwenyewe". Kisha kata simu. Atafuatilia mwenyewe kuanzia hapo. Muhimu ni kuwa isijulikane kama source ya hiyo info ni wewe.
 
yaaani apo usipomwambia huyo shoga ako kinachommaliza wewe huna ubinadamu na dhambi hii utosamehewa kabisa, mwambie haraka tena utubu kwa Mungu wako kushirikiana na shoga ako kumtesa mwinzio au na wewe unachukua bwana wa mtu??????????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom