mpeni ushauri......ungekua wewe ungefanyaje?

Wanawake wa aina hii ndo wanawapa wanawake wengine sifa mbaya. Mistake number one you did alivyokuelezea kwamba anatoka na mume wa huyo dada ungemshauri hapo hapo.(labda alikuwa anakumislead na anatoka hata na mume wako....)

Sasa ushachelewa, advice ni keep a distance na hawa akina dada wote wawili, kesho usije ukaitwa homewrecker - maana anaweza kukugeuzia kibao. Live ur life, maana inaonekana huyo mdada hana conscience.

Golden rule - acha kuzoeana sana na wapangaji wenzako hapo ndo matatizo yanaanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom