Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,602
- 5,570
Thubutu....:nono:Huo si ndio ushahidi kama kweli? Waende mahakamani!
Thubutu....:nono:Huo si ndio ushahidi kama kweli? Waende mahakamani!
Kwa style hii CCM haitatoka madarakani. Wananchi mwaka huu walikuwa wameamua kwa dhati kabisa kuing'oa madarakani CCM. Wengi wao mwaka 2015 wanaweza kukataa tamaa kabisa ya kupiga kura na CCM pia wataendelea na utaratibu wao huu.
Something MUST be done....and fast. Kuna haja ya kucharangana mapanga kama Kenya ili heshima irudi. Yes, I SAID it
slaa anafanya kazi ngapi kwani yeye alikuwa wakala segerea mfa maji haachi......ccmoyeeeeeeeeeeeeeeeee
CCM = Choma Choma Mkuuuuuundu..... wezi wakubwaaaaa
Katika mkutano wake na waandishi wa habari Dar leo alipoitaka NEC iache kutangaza matokeo yaliyochakachuliwa ya Urais, Willbrod Slaa, alitoboa siri kuwa Mpendazoe alipata ushindi wa kura 56,962 jimboni Segerea. Makongoro Mahanga wa CCM alipata kura 43,904.
Ushahidi wa idadi hizi za kura upo kwenye fomu za matokeo ya kura kutoka vituo vya jimbo hilo. Baada ya usalama kuchakachua matokeo, wakaja na matokeo ya kupika yanayo onesha hivi:
Makongoro Mahanga - 43,839
Fred Mpendazoe - 39,639
Huu ndio wizi wa wazi unaofanywa na CCM halafu wanasema Kikwete na chama chake wanashinda kwa kishindo!
kwa style hii ccm haitatoka madarakani. Wananchi mwaka huu walikuwa wameamua kwa dhati kabisa kuing'oa madarakani ccm. Wengi wao mwaka 2015 wanaweza kukataa tamaa kabisa ya kupiga kura na ccm pia wataendelea na utaratibu wao huu.
Something must be done....and fast. Kuna haja ya kucharangana mapanga kama kenya ili heshima irudi. Yes, i said it
Hakuna mahakamani, ni kupoteza muda. Tumabie tu kamanda la kufanya, tuingie mitaani kuiambia dunia kwamba tumeporwa na hatukubali
Kwa style hii CCM haitatoka madarakani. Wananchi mwaka huu walikuwa wameamua kwa dhati kabisa kuing'oa madarakani CCM. Wengi wao mwaka 2015 wanaweza kukataa tamaa kabisa ya kupiga kura na CCM pia wataendelea na utaratibu wao huu.
Something MUST be done....and fast. Kuna haja ya kucharangana mapanga kama Kenya ili heshima irudi. Yes, I SAID it
mkuu, najua umeudhika sana kama mimi na nimekugongea kasenki hapo juu lakini hapo kwenye nyekundu... Mmm hapana.
Embu imagine panga liangukie kwenye kichwa cha kale ka-last born kako unakokapenda sana na kukimega katikati vpiande viwili.
Just imagine!
Mara zote CHADEMA kimekuwa ni chama kinachojipambanua na vyama vingine kwa kufanya mambo yake kwa umakini zaidi na kwa kuwa na ushahidi tangible. Katika kila tatizo kuna njia muafaka za kufanya ili kuondoa tatizo hilo. Katika Uchaguzi pia kuna taratibu za kisheria za kufuata kupinga matokeo ya uchaguzi. Ushauri wangu kwa uongozi wa chadema ni kuzifuata hizo taratibu za kufungua kesi juu ya matokeo ya baadhi ya majimbo kama hili la segerea. Sijui sheria inasemaje juu ya matokeo ya Urais?? Lakini kama sikosei Rais akisha apishwa hakuna tena kulalamikia hayo matokeo mahakamani. Katika hili naishauri CHADEMA ifanye kama ilivyofanya kwenye issue ya EPA, walienda kwa wananchi wakauweka ukweli wote wazi na watu waliwaelewa na imeisaidia Chadema katika uchaguzi wa mwaka huu. Hapa pia cha kufanya ni kuchukua copy za matokeo ya kila kituo cha uchaguzi katika majimbo yote ya urais na kulinganisha na jumla inayotolewa na NEC, na kuwaonesha wananchi. Katika hili Chadema isiruhusu JAZBA kuitawala hekima, itakuwa ndio mwisho wake katika medani za siasa TZ, watawala wanatafuta sababu tu ya kuanzia