Elections 2010 Mpendazoe alipata kura 56,962 Segerea, asema SLAA

huyu slaa, naona uchaguzi umemlewesha!! Si juzi tu katuambia usalama wa taifa huripoti kwake? Imekuaje tena leo anatuambia usalama wa taifa unahusika na uchakachuaji wa kura?

sasa inamaana majimbo walioshinda chadema wamesaidiwa na usalama wa taifa kuchakachua? Na yale walioshinda ccm au vyama vingine pia ni usalama wa taifa wamewasaidia? Jamani mbona hii ni contradiction? Hivi mnamuelewaje dr.slaa?
kama usalama wa taifa wanahusika na kuchakachua kura na kuibeba ccm, basi usalama huho huo wa taifa unahusika kuchakachua kura kwa kuibeba chadema kwani wameibuka washindi ktk majimbo mengi!! Sasa slaa analalamika nini? Si yeye mwenyewe anafanya kazi na usalama wa taifa?

jk anausalama wake wa taifa na slaa pia anawake sasa kama wa jk wamechakachua huenda ujuzi wao ni wa kitaalamu au wa kisayansi zaidi kuliko uchakachuaji wa usalama wa taifa wa dr.slaa!!!!

hiki ni kichekesho!!! Yaaani mwizi analalamika kuwa mwizi mwenzake kaiba zaidi kuliko yeye!!!!!!!!
 
ZUBEDA

Nyie ndio mijitu ambao naona mlizaliwa kwa bahati mbaya, sijawahi kuona mtu mwenye akili timamu anaukataa ukweli,,wewe ni moja wa wanaofaidika na uwepo wa CCM so lazima kwa nguvu zote utetee ujinga, Hata mtu ambaye hajaenda shule nani hajui kwamba CCM wanaiba kura???Ndo miafrica mlivyo mnaweza uza haki zenu ukipewa UROJO,
 
You don't know what you are saying; I just hope you are kidding ingawa kuna mambo mengi sana tu ya kufanyia mzaha. Siipendi CCM na njama zake chafu lakini I don't support anyone who advocates violence.

Tupe na njia mwanana ya kurekebisha mambo pale ambapo watu hukata tamaa.
 
Nadhani ccm na tume ndio wanaovunja amani kwa kuchakachua kura za wananchi, chadema wamewakumbusha kuwa watahatarisha Amani. Hivyo chadema wanapenda amani, na ccm wanaivunja kwa mabavu
 
Kumbe una facts si uende mahakamani... Dr. Slaa mbona unataka kutuyumbisha bila sababu za maana.

Mi naona akili zako si nzuri, sema anakuyumbisha wewe usiye elewa kilichopo. Regia mtema kaibiwa jimboni kwake, Mwita mwikwabe pia, unatwambia nini wewe? usiandike tu kufurahisha nafsi yako.
 
Kumbe una facts si uende mahakamani... Dr. Slaa mbona unataka kutuyumbisha bila sababu za maana.
Unataka tukubali ujinga , upuuzi na ushenzi unaofanywa? Miafrika kweli kubadilika hadi ngozi iwe nyeupe
 
slaa anafanya kazi ngapi kwani yeye alikuwa wakala segerea mfa maji haachi......ccmoyeeeeeeeeeeeeeeeee

mpuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi wewe, hivi umepata wapi akili ya kujiregister hapa JF au kuna mtu kakufanyia Reg, ulitaka mawakala ndio waende kwenye press conference kutangaza aliyoyasema Slaa?
 
iko siku yatatimia na kitang'oka madarakani lakini nakubali wazi sio kwa staili ya tick kwenye makaratasi la hasha
hata ufaransa ya sasa ilibidi watu waingie mtaani na kuhakikisha kichwa cha mfalme kimechinjwa shaahhh
 
Wana JF tujiheshimu. Mi hili neno la miafrika linanikera kweli... Yaani upumbavu afanye mtu mwingine halafu mtujumlishe wote? Oneni aibu na wala sio sifa njema. Upumbavu wa mtu have nothing to do with color nor ethnicity. Stop insulting precious africans!
 
Kwa kweli kwa mtindo huu mimi naona ni bora kukatana mapanga kuliko kunyanyaswa hivi na ccm. Yaliyofanywa kwenye huu uchaguzi hayavumiliki ni bora kujitoa tu muhanga ili vizazi vijavyo visalimike kwani inasikitisha sana. Jamani watanzania tusikubali mwaka huu lazima haki ipatikane. period
 
huyu slaa, naona uchaguzi umemlewesha!! Si juzi tu katuambia usalama wa taifa huripoti kwake? Imekuaje tena leo anatuambia usalama wa taifa unahusika na uchakachuaji wa kura?

sasa inamaana majimbo walioshinda chadema wamesaidiwa na usalama wa taifa kuchakachua? Na yale walioshinda ccm au vyama vingine pia ni usalama wa taifa wamewasaidia? Jamani mbona hii ni contradiction? Hivi mnamuelewaje dr.slaa?
kama usalama wa taifa wanahusika na kuchakachua kura na kuibeba ccm, basi usalama huho huo wa taifa unahusika kuchakachua kura kwa kuibeba chadema kwani wameibuka washindi ktk majimbo mengi!! Sasa slaa analalamika nini? Si yeye mwenyewe anafanya kazi na usalama wa taifa?

jk anausalama wake wa taifa na slaa pia anawake sasa kama wa jk wamechakachua huenda ujuzi wao ni wa kitaalamu au wa kisayansi zaidi kuliko uchakachuaji wa usalama wa taifa wa dr.slaa!!!!

hiki ni kichekesho!!! Yaaani mwizi analalamika kuwa mwizi mwenzake kaiba zaidi kuliko yeye!!!!!!!!

Umasikini na ujinga unakuandama
 
Hoja za kichangudoa changudoa zinareflect mtoa hoja ni mtu wa namna gani!
 
ZUBEDA

Nyie ndio mijitu ambao naona mlizaliwa kwa bahati mbaya, sijawahi kuona mtu mwenye akili timamu anaukataa ukweli,,wewe ni moja wa wanaofaidika na uwepo wa CCM so lazima kwa nguvu zote utetee ujinga, Hata mtu ambaye hajaenda shule nani hajui kwamba CCM wanaiba kura???Ndo miafrica mlivyo mnaweza uza haki zenu ukipewa UROJO,

Wewe unafikiri kwa IQ ya Zubeda anaulewa wowote. Huoni hata posting zake ni yaleyale tu anapaste kila mahali. Watoto wa CCM hao bado wanategemea baba na mama kama akina Riz1. They can't do things on their own, wao wanajua maisha ni CCM. Hawaangalii mbali kabisa, kama Soviet Union ilianguka hivi bado wanategemea CCM itatawala milele??
 
Tuwe tunaangalia kwanza ktk kipindi hichi ccm wamefosi kuchukua viti vya ubunge pia ikulu, sasa tunapotaka kwenda mahakamani tujue kabisa kua sheria ni ccm na ccm ndio mahakama hivyo ni "kesi ya nyani kupewa ngedere"..
cha mihimu hizo gharama na muda ndo kitu cha muim kuzingatia..
ile operation sangara ndo imesaidia hadi tukapata viti vingi zaidi ya 2005..
sasa nguvu zote ni kwenye ope sangara nyingine ili wanaharakati tuwe na viti zaidi ya 100 mwaka 2015..
kwa ufupi hata uyo hakimu anayo familia inayomtegemea hivyo hawezi muhukumu alie mweka kazini..

majaji nani anaewateua??? tafakari chukua hatua
 
slaa anafanya kazi ngapi kwani yeye alikuwa wakala segerea mfa maji haachi......ccmoyeeeeeeeeeeeeeeeee

Wewe nafikiri kati ya watu wasiojali kufikiri ni namba moja kwa sababu kila wakala wa chama anapewa nakala ya matokeo na kuipeleka kwenye chama chake. Sasa kuuliza kuwa Dr. Slaa amejuaje ni swali la mtu asiyejua taratibu za kusimamia uchaguzi na ni mvivu wa kufikiri!
 
Back
Top Bottom