Mpango uliopo wa 'Siri’ CCM na CHADEMA kuungana kabla 2020

Mzalendo39

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
882
1,029
Habar za humu wana jamii forum Katika pita pita zangu huko mtaani nilikuta na mnyetishaji wangu na kunieleza kuna mpango siri unaswukwa ili kuviungana vyama viwili CCM na CHADEMA. Mpango huo ambao unaratibiwa na chama tawala(CCM) ambacho tayari kimeandaa makada wake watiifu ambao kati Yao watondoka wenyewe na wengine kufukuzwa uanachama na kukimbilia chama cha CHADEMA

Makada hao wa CCM wataokao kimbilia CHADEMA watamsimasha kada wao kungombea uwenyekiti wa chadema pamoja na nafasi mbali mbali za ngazi ya juu za chama hicho ikiwa ni pamoja na mikoani na kufanikiwa na kufanikiwa kukishika chama

Katika mpango viongozi wastaafu serikali waliokimbilia CHADEMA ndio wanasuka mpango huo umeratibiwa idara nyeti za serikali na mpango umesukwa baada ya kuona watu wanaotoka CCM wanaonekana kukubalika zaidi katika jamii walkways nje ya CCM hata hivyo mnyetishaji hakutaka kuweka wazi tukio hilo litatokea lini lakini amesema mpango huo utafanikiwa kabla uchaguzi mwaka 2020. Hata hivyo mnyetishaji huo amesema katika mipango yao Ni kuhakikisha chadema inasambalitika katika kipindi hicho kabla ya uchaguzi.

Mnyetishaji wangu ameeleza mpango huo utakapokamilika utakuwa tayari umeviunganisha vyama hivyo viwili na kufanya kwa kushirikiana kama CCM inavyoshriakana na CUF.

Kwa taarifa hii napenda kukitahashirisha chama cha CHADEMA kuwa makini na kuwafatilia wanachama wapya waliopo ndani ya chama au watakaojiunga hivi karibu ili kuepuka kukipeleka chama mikononi mwa mafisadi CCM.
 
Kweli nadhani huenda uliyokunywa waliikamua na kale kanguo ka ndani. Ndio maana ikakupiga ubongoni. Ati waiue CDM kwa kuwapandikiza wastaafu waccm. Unataka wastaafu wasijiunge na CDM hata baada ya kuona wanawashwawashwa?? Waje tu. Wakikiua chama lakini kitakuwa kimevuma hata siku 2 tu
 
Chochote kinawezekana kwenye siasa!

Akina Malisa na Yeriko wametoa maandiko yahusuyo episonage na uchumi na haya maandiko yalianza kupata mashiko baada ya Nyalandu and the like kuanza kuthaminiwa kuliko wengine kule cdm.
 
Habar Za humu wana jamii forum Katika pita pita zangu huko mtaani nilikuta na mnyetishaji wangu na kunieleza kuna mpango siri unaswukwa ili kuviungana vyama viwili Ccm na Chadema. Mpango huo ambao unaratibiwa na chama tawala(Ccm) ambacho tayari kimeandaa makada wake watiifu ambao kati Yao watondoka wenyewe na wengine kufukuzwa uanachama na kukimbilia chama cha Chadema

Makada hao wa Ccm wataokao kimbilia Chadema watamsimasha kada wao kungombea uwenyekiti wa chadema pamoja na nafasi mbali mbali Za ngazi ya juu Za chama hicho ikiwa ni pamoja na mikoani na kufanikiwa na kufanikiwa kukishika chama

Katika mpango viongozi wastaafu serikali waliokimbilia Chadema ndio wanasuka mpango huo umeratibiwa idara Nyeti Za serikali na mpango umesukwa baada ya kuona watu wanaotoka Ccm wanaonekana kukubalika Zaidi katika jamii walkways Nje ya Ccm hata hivyo mnyetishaji hakutaka kuweka wazi tukio hilo litatokea lini lakini amesema mpango huo utafanikiwa kabla uchaguzi mwaka 2020. Hata hivyo mnyetishaji huo amesema katika mipango yao Ni kuhakikisha chadema inasambalitika katika kipindi hicho kabla ya uchaguzi.

Mnyetishaji wangu ameeleza mpango huo utakapokamilika utakuwa tayari umeviunganisha vyama hivyo viwili na kufanya kwa kushirikiana kama Ccm inavyoshriakana na cuf.

Kwa taarifa hii napenda kukitahashirisha chama cha chadema kuwa makini na kuwafatilia wanachama wapya waliopo ndani ya chama au watakaojiunga hivi karibu ili kuepuka kukipeleka chama mikononi mwa mafisadi Ccm.
Ngoja niweke akiba ya maneno!
 
CCM na CHADEMA viungane mara ngapi?

Mbona CHADEMA ishakuwa CCM B kwa kukubalimakapi yote ya CHADEMAna kuyaweka kwenye fast track ya uongozi?
 
Back
Top Bottom