mpangaji wa NHC afyatua risasi

hivi ukigoma kutoka kwenye nyumba kwa nini ufukuzwe na sio kufunguliwa mashtaka?
 
Sasa kwanini alikuwa halipi kodi? Huyo ana matatizo.

si wangemfungulia mashtaka kuliko mikikimikiki huku media zikishuhudia...huu ni uhuni tu hata kama marekani wanafanya hivi tusiige kila kitu.
 
Sasa kama Serikali inatumia nguvu kubwa kiasi hicho kuwatoa Wapangaji ambao wanadaiwa Kodi ya pango!!!!!

Sipati :photo::photo: huku kwetu uswahilini wenye nyumba watatumia nguvu gani. maana Serikali inakuwa hivyo je, sisi raia pia tunaruhusiwa kutumia nguvu hivyo na kuwatoa wapangaji nje, kufunga mlango na magufuri!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom