Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,161
- 1,493
Pengine inaweza chukuliwa ni kejeli lakini ukweli ni kwamba ni CCM pekee ambayo ni Taasisi Imara, sio kwa sababu wameunda Serikali lakini namna wanvyotengeneza safu za uongozi.
1. CCM ndio Chama ambacho kinafuata katiba yake, mabadiliko ya Viongozi yako wazi..Chaguzi zafanyika kwa mujibu wa katiba..hakuna Mwenyekiti wa milele.
2. Hongereni ACT mmeonyesha mfano, ZZT umetoa somo kwa nini uliondoka kule.
3. Ni CCM pekee inayoa Amini kila ni bora akipewa nafasi,
4. NI CCM pekee inayoamini watu wote sawa, ukanda haupo.
5. Vyama rafiki endeleeni kujifunza kutoka Chama kikongwe Africa.
Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania