Jamani,...mmeangalia series ya revolution?,.
Jaman hivi movies ya seventh son ishatoka???
Nimeiangalia hadi season ya 2 ,sema kwasasa imesitishwa kutolewa na NBC.Na cjajua itaendelea tena seoson ya 3 lini
Revolution imeenda break mda mrefu sana tangu mwaka jana nahisi kama wanaweza kuipotezea hivi, maana nami nimekua nikiisubiri kwa muda lakini kimya hata haioneshi lini itatoka tena.
The hundred imeendelea jamani?
Dah mkuu hata mm naisubiri kwa hamu, it's my best action series
season.2
Natafuta season 2 ya the event! Kuna mtu amewahi kuiona?na ninaipataje maana nimechek torrents siioni aisee....
Kumbe mnazungumzia movies za nje mi nikadhania mnazungumzia za ndani.Nitakuja baadawe mkianza kuzungumzia za Tz.
Anzisha Thread ya Muvi za Ndani