Movie Reviews

kwa wale walopata tazama movie mpya ya will smith-focus jana je waliionaje..? m nimeiangalia trailer yake tu..!
 
Nimeiangalia hadi season ya 2 ,sema kwasasa imesitishwa kutolewa na NBC.Na cjajua itaendelea tena seoson ya 3 lini

Revolution imeenda break mda mrefu sana tangu mwaka jana nahisi kama wanaweza kuipotezea hivi, maana nami nimekua nikiisubiri kwa muda lakini kimya hata haioneshi lini itatoka tena.
 
Revolution imeenda break mda mrefu sana tangu mwaka jana nahisi kama wanaweza kuipotezea hivi, maana nami nimekua nikiisubiri kwa muda lakini kimya hata haioneshi lini itatoka tena.

Tatizo ni kwamba kumekuwa na mgogoro kati ya waandaaji wa movie na NBC ambao ndio walikuwa wanabroadcast ile movie.

NBC waliipiga chini Revolution na badala yake wameamua kuwa wanaonesha series flan hivi ambayo ni mpya inaitwa Constantine.

So haijajulikana hatima ya Revolution itakuwaje
 
Kumbe mnazungumzia movies za nje mi nikadhania mnazungumzia za ndani.Nitakuja baadawe mkianza kuzungumzia za Tz.
 
Mwenye link ninapoweza kupata clear copy ya hizi movie
#.beyond the gate
#.shake hand with the devil anisaidie tafathali
 
+901


Mad Max: Fury Road (2015)

download.jpg
Download movie hapa
http://kat.cr/mad-max-fury-road-2015-720p-brrip-x264-yify-t11091342.html
 

Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom