Movie iliyowahi kukutoa machozi....

TITLE:MAISHA YA BONGO

MAIN ACTOR:20%

YEAR:2011

LOCATION:KIBADA

kuna dogo alitumia jina la NEEMA. d a a a h! alintoa chozi. . . . .

Hata 20% mwenyew alifunika mbaaaya.

Na yule Mama Neena ndo akamaliza kabisa machozi yangu. . . pale alipokuwa anajifungua Neema. . . dah. hatari sana.
 
Hatya.. Sina uhakika na spelling ya title.Ni ya kihindi ya zamani sana. Actor 1 anaitwa Govinda,Raja.. Kwa kwl iliniliza kipindi kile,may be kwa sababu ya utoto.
 
Not without my children......sina uhakika sana na title manake sikuweza hata kuimalizia.

ntaitafuta hii

sometimes in april na Hotel rwanda inayohusu mauji ya rwanda
hii na mimi nilishaiona na kunihuzunisha sana ki kweli

Not without my daughter

The Green Mile

The Boy in the Striped Pajamas

Bila kusahau Govinda's Hatya movie..yaani sitoisahau!!
hii the green mile ninayo kabisa na watu wengi wanaisifia ila bado sijapata muddy ya kuiangalia..ni kama vile naidharau hivi..sijui kwa nini...ngoja niivutie kasi hii ya Hatya niliwahi iona zamani sana hii...si ni ile ya yule mtoto bubu sijui vile au...!?

tears of the sun

very nice movie..mzee bruce wills..
 
My blood sister-Nigeria, Hatya ya Govinda na Andhaa kanoon ya Amitha Bachan - India. Zina watoto wanaotoa machozi.
 
Back
Top Bottom