Movie iliyowahi kukutoa machozi....

Wadau kwa kawaida mimi ni mgumu sana kulia lakini kuna baadhi ya films zinanifanya kutoa machozi kabisaaa bila kupenda

My sisters keeper(my sadiest movie ever)

John Q
(a poorest man struggle to help his son, inauma)

Note book
(touching love story)

The Boy in the Striped Pajamas

Hachiko: A dog's story
(must watch this, so sad)

Hachiko, I cried too
 
Movie yangu ya siku ya ubatizo ..huwa inaniliza sana jinsi nilivobatizwa na kumpokea bwana ndani yangu ...
 
Wadau kwa kawaida mimi ni mgumu sana kulia lakini kuna baadhi ya films zinanifanya kutoa machozi kabisaaa bila kupenda

My sisters keeper(my sadiest movie ever)

John Q
(a poorest man struggle to help his son, inauma)

Note book
(touching love story)

The Boy in the Striped Pajamas

Hachiko: A dog's story
(must watch this, so sad)

My sassy girl
(korean film, a must see)

Good Dees
(sijui kwanini machozi yalinilenga kila mara kwa mapitio aliyopitia Lindsey)

Ps I Love You
(hakikisha una kitambaa pembeni)

The Perfect storm

Armaggedon

A Walk to Remember
(a very touching movie)

Alive(Never cried but feel so sad)

Titanic(mara ya kwanza kuoina niliwaga chozi mwishoni jack alipokufa, hate that ending)

je nimovies gani ukiangalia inakusikisha sana kama sio kukumwaga machozi so I can find and watch,
I love sad movies

da mi ni naifeel sana emperor of the sea very emotional.
 
nitazipataje mkuu
 
Siajwahi kulizwa na filamu yoyote japo kuna movies nyingi zinasikitisha kama Hotel Rwanda, Blood Diamond, Shooting Dogs e.t.c.
 
Africa United ya watoto wa Rwanda waliotembea kwa miguu kwenda south africa kutizama kombe la dunia
 
mimi niliona kitu 'MY LOVE' Nigerian movie ya Noah Ramsey. Yaani jamaa alipigika kwa kupata mateso kmakubwa sana kwa kosa la kumpenda dada aliyempenda pia lakini aliyependwa na Bwana mwingine mwenye uwezo amnbaye yeye hakumpenda. Kuna wakati unaweza sema kwa nini usiingie ndani ya TV na kumsaidia Bwana Noah. Its one of the sad movies I have watched
 
Wadau kwa kawaida mimi ni mgumu sana kulia lakini kuna baadhi ya films zinanifanya kutoa machozi kabisaaa bila kupenda

My sisters keeper(my sadiest movie ever)

John Q
(a poorest man struggle to help his son, inauma)

Note book
(touching love story)

The Boy in the Striped Pajamas

Hachiko: A dog's story
(must watch this, so sad)

My sassy girl
(korean film, a must see)

Good Dees
(sijui kwanini machozi yalinilenga kila mara kwa mapitio aliyopitia Lindsey)

Ps I Love You
(hakikisha una kitambaa pembeni)

The Perfect storm

Armaggedon

A Walk to Remember
(a very touching movie)

Alive(Never cried but feel so sad)

Titanic(mara ya kwanza kuoina niliwaga chozi mwishoni jack alipokufa, hate that ending)

je nimovies gani ukiangalia inakusikisha sana kama sio kukumwaga machozi so I can find and watch,
I love sad movies

Mkuu nimeangalia karibu robotatu ya movie ulizotaja baada ya kuingia chimbo na kuzipata

Nakushauri tafuta movie ya kikorea inaitwa A moment to remember
Kwa jinsi nilivyoona hizi unazozitaja basi nahakika hii itakutoa mchozi

By the way hatchko na a walk to remember zimenigusa sana
 
Kuhuzunika sawa kwa movie ambazo hueleza ma2kio ambayo yamewai kutokea mfano the perfect storm na titanic zamani ila kulia no!
 
Kaka kama unapenda movie za hivyo tafuta movie inaitwa Glory ni ya Denzel Washngton na Morgan Freeman coz sijaona katika list ya movie uloziweka hapo, inahusu Black america kuingizwa kwa mara ya kwanza katika jeshi la weupe miaka pia tafuta movie inaitwa Amistad hii amecheza Morgan freeman na jamaa jina simkumbuki ila amecheza katika Blood Diamond (yule black) zipo nyingi nitazichambua then nitakufowadia list ulizie vizuri kamanda.
 
Back
Top Bottom