"Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

..kwani hajaoa na picha zipo...kamuoa lilian kimaro wa BRELA.....

Kaka Phillemon Mikael zile picha zilizozagaa kwenye mitandao zinazomuonyesha Mzee Mengi na Lilian Sophia Kimaro haikuwa Harusi,kuna watu kwa makusudi kabisa walizichomoa picha za mwanadada huyo kwenye Facebook na kuzitundika kwenye email za watu na mitandao mbalimbali.
 
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi, amedai amezushiwa juu ya habari kwamba ameoa tena na akadai kuwa uongo unaenezwa na watu aliowaita ni mafisadi wenye lengo la kutaka kumjengea chuki katika jamii.
Mengi anadaiwa kumwoa Lilian Kimaro na ndoa yao ilifungwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Kanali Fabian Massawe. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, Mengi alisema habari hiyo pamoja na nyingine kama vile ‘ana kashfa ya ufisadi na ndoa baina yake na Chadema yabainika’, ni za kutunga na zinasambazwa na magazeti aliyodai yameanzishwa na wale anaowaita mafisadi.

“Magazeti haya yanayofadhiliwa na watuhumiwa wa ufisadi yamekuwa yakiandika mambo mengi yaliyojaa fitina na uongo dhidi yangu na familia yangu,” alisema Mengi. Hata hivyo, hakuyataja magazeti hayo zaidi ya kueleza kuwa yapo 15. Hata hivyo, Mengi aligoma kuulizwa maswali kuhusu hoja yake hiyo ya ndoa ili aweze kutoa ufafanuzi zaidi.

“Naomba msiniulize maswali, nyie wenyewe fanyeni utafiti ndio maana mnaitwa waandishi makini,” alisema. Mengi alisema mafisadi hao wameanzisha magazeti hayo ambayo alidai yanasambaza fitina na uongo uliotungwa kwa madhumuni ya kuufanya umma uelekeze nguvu na mawazo yao katika fitina na uongo huo na kuacha kufikiria na kuzungumzia tatizo kubwa la ufisadi.

Alisema fitina na uongo wa mafisadi hao ni sumu inayosambazwa ndani ya jamii na inaweza kujenga chuki, kuwagawa wananchi na kuvuruga amani. “Iwapo vurugu zitatokea, basi mafisadi hao wataanza hata biashara mpya ya kuuza silaha ili Watanzania wazitumie kuuana wenyewe kwa wenyewe.” Mengi alisema wengi wa mafisadi wanaishi maisha machafu, lakini akagoma kuyaeleza kwa madai kuwa ni hadi pale Baraza la Habari Tanzania (MCT) litakapotoa msimamo wake juu ya uandishi wa mambo ya faragha

HabariLeo: Gwiji la habari Tanzania | Mengi azungumzia ndoa mpya
 
Mengi alioa inatuhusu nini sisi Watanzania ukizingatia Mengi si mwanasiasa na hategemei pesa ya uma???. Kama Mengi angekuwa mbunge au mfanyakazi wa serikali ningeelewa lakini mengi ni mtu binafsi.
 
Kila siku yeye tuu ndiye victim ....this time the proof is in the pudding . We all hate mafisadis , Nonetheless Mafisadis have got nothing to do with this ! With all due respect Sir, this problem is of your own making !
 
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi, amedai amezushiwa juu ya habari kwamba ameoa tena na akadai kuwa uongo unaenezwa na watu aliowaita ni mafisadi wenye lengo la kutaka kumjengea chuki katika jamii.

Kama Mengi atakuwa ameoa na amesema maneno haya ya kuikana ndoa basi yeye ni mnafiki.
 
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi, amedai amezushiwa juu ya habari kwamba ameoa tena na akadai kuwa uongo unaenezwa na watu aliowaita ni mafisadi wenye lengo la kutaka kumjengea chuki katika jamii.
Mengi anadaiwa kumwoa Lilian Kimaro na ndoa yao ilifungwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Kanali Fabian Massawe. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, Mengi alisema habari hiyo pamoja na nyingine kama vile ‘ana kashfa ya ufisadi na ndoa baina yake na Chadema yabainika’, ni za kutunga na zinasambazwa na magazeti aliyodai yameanzishwa na wale anaowaita mafisadi.

“Magazeti haya yanayofadhiliwa na watuhumiwa wa ufisadi yamekuwa yakiandika mambo mengi yaliyojaa fitina na uongo dhidi yangu na familia yangu,” alisema Mengi. Hata hivyo, hakuyataja magazeti hayo zaidi ya kueleza kuwa yapo 15. Hata hivyo, Mengi aligoma kuulizwa maswali kuhusu hoja yake hiyo ya ndoa ili aweze kutoa ufafanuzi zaidi.

“Naomba msiniulize maswali, nyie wenyewe fanyeni utafiti ndio maana mnaitwa waandishi makini,” alisema. Mengi alisema mafisadi hao wameanzisha magazeti hayo ambayo alidai yanasambaza fitina na uongo uliotungwa kwa madhumuni ya kuufanya umma uelekeze nguvu na mawazo yao katika fitina na uongo huo na kuacha kufikiria na kuzungumzia tatizo kubwa la ufisadi.

Alisema fitina na uongo wa mafisadi hao ni sumu inayosambazwa ndani ya jamii na inaweza kujenga chuki, kuwagawa wananchi na kuvuruga amani. “Iwapo vurugu zitatokea, basi mafisadi hao wataanza hata biashara mpya ya kuuza silaha ili Watanzania wazitumie kuuana wenyewe kwa wenyewe.” Mengi alisema wengi wa mafisadi wanaishi maisha machafu, lakini akagoma kuyaeleza kwa madai kuwa ni hadi pale Baraza la Habari Tanzania (MCT) litakapotoa msimamo wake juu ya uandishi wa mambo ya faragha

HabariLeo: Gwiji la habari Tanzania | Mengi azungumzia ndoa mpya

Iunganishwe

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/24174-moto-umewawakia-hawawezi-kuuzima-mengi.html
 
Mimi sidhani kama hii ishu inahusiana na ufisadi nadhani Mengi anatafuta scapegoat tuu hapa . Zile picha speak for themselves na kiasi kikubwa zimeharibu taswira yake katika jamii period. Was it a wedding ? ....that is debatable. lakini najua ya kuwa kwa mzee mwenye umri kama wake kumdate mtoto kama yule katika jamii ya kitanzania ni NO NO !

Rufiji.. hivi harusi zinafungwa hewani? kuna sheria ya ndoa, ndoa si ndoa hadi itimize masharti hayo. Sasa tumeambiwa aliyefungisha ndoa ni mkuu wa wilaya. Sasa leo Mengi anasema hajaoa tena, Mkuu wa Wilaya anatakiwa kuja na kusema "ndiyo niliwafungisha ndoa au hapana sikufungisha ndoa".

Kama aliwafungisha ndoa kuna sehemu wao wanatia sahihi na mashahidi wanatia sahihi na inaandikishwa katika Msajili wa Ndoa.

So why is this debatable? Labda kitu kinachobishaniwa ni kuwa walivyoonekana kwenye picha ni kama maharusi au wako kwenye tafrija kamambe. Lakini kuwa ni ndoa au si ndoa you can't debate by looking at pictures.. or can you.. ?
 
..kwani hajaoa na picha zipo...kamuoa lilian kimaro wa BRELA.....

Mkuu PM,

Inabidi utuletee hizo picha hapa JF, vinginevyo na wewe usije ukawa unampaka bure huyu shujaa wetu.

Inaelekea Mengi kawakamata pabaya mafisadi.

Binafsi ningemshauri Mengi aache kutoa hiza statements na kuitisha press conferences kwa ajili ya kupambana na mafisadi na badala yake atumie magazeti. Yheye aendelee kuhangaika na biashara zake pamoja na miradi ya maendeleo kwenye jamii.
 
Kila siku yeye tuu ndiye victim ....this time the proof is in the pudding . We all hate mafisadis , Nonetheless Mafisadis have got nothing to do with this ! With all due respect Sir, this problem is of your own making !

kwamba yeye asiwe na husiano na mtu anayempenda tena publicly au angeamua kuendelea kujificha? Kwamba tatizo lake ni kuwa vyombo vyake vimeandika kwa kirefu kuhusu ufisadi au kwa sababu haviachi kuandika mambo ya kifisadi? Kwamba tatizo lake ni kuwa amelalamika kuitwa Hitler, kusingiziwa kitu ambacho mtu anaweza kukitafuta usahihi wake kwa urahisi tu?

Una tatizo lolote na uandishi wa vichwa hivyo vya habari au wewe havikutatizi?
 
it was a MASQUERADE BALL..sio BDAY PARTY OR HARUSI.
it was an exclusive invitees only event,nyumbani kwa bwana mengi kinondoni

only 100 people.
PARTY PLANNER FLEW IN FROM S.AFRICA,THE EVENT COSTED MILLIONS OF Tshillings.

NI KWELI MR MENGI ALIMTAMBULISHA LILIAN KIMARO AS HIS WIFE,NA WASHAVALISHANA PETE BUT NO PLANS FOR HOLDING A WEDDING FOR REASONS KNOWN TO EVERYONE......AMEOA ALREADY!!
 
Mimi nadhani hii platform inataka kutumika ku-rehabilitate Mengi's image . I would care less wether ameoa au lah ! Ila picha kama za faragha kama zile akiwa na mtoto ambaye anaweza kuwa mtoto wake , kwa mila zetu za kitanzania ni aibu !

Nasijui hawa waandishi wanafanya nini , kama aikuwa harusi ilikuwa nini?
 
Uzushi ni asili ya ubinadamu na hata upige marufuku magazeti au redio na luninga kutangaza udaku, huwezi kupiga marufuku watu kuongea.
Soooo ur supportin uchungu....safi...

Mwanakijiji naona mengi kakuongezea dau...mwaka huu lazima ujenge.....

Zile picha ziliwekwa hapa soon zikafichwa sijui ziko wapi?

.....i know Mengi saaana tena saaana.....mara kibao mzee huyu hana haya nabambana nae kona anamega totozi.....

.....Mengi unakumbuka 002/oo3 na yule toto la kiarabu anaanziwa na herufi Z...a. u knw what? ulinikera saana

huyu mzee yeye kila siku ni mtu anaeonewa tuuu yeye na sauti yake ya kipole unaweza kufikiria kweli...
 
Na kama hajaoa lakini magazeti hayo yameandika kuwa ameoa magazeti hayo ni vipi?

Kazi ya magazeti ni kuandika habari, kama habari hizo ni za uongo, Mengi ana haki ya kuwafikisha mbele ya sheria.

Je, anaogopa ugomvi na kanisa na bado anataka tunda?
 
Wakuu,
Mimi sioni mahala ambapo Mengi amekana ndoa yake isipokuwa kile kilichochomekwa ktk maelezo ya ndoa yake kuwa - Mengi ni Fisadi..nadhani maelezo mengi yameegemea ktk ufisadi kuliko kupinga hiyo ndoa..
After all, kuna baya gani hasa limezungumzwa kuhusiana na ndoa hiyo?..
 
List ya mambo ambayo Megi ameonewa..

Mengi vs Dtv--
Mengi vs Manji
Mengi vs Malima JR
Mengi vs Waziri kijana
Mengi vs Picha zake mwenyewe

This is preposterious ....if it walks like a duck , it smells like a duck ..then it is a duck.
 
Kaka Phillemon Mikael zile picha zilizozagaa kwenye mitandao zinazomuonyesha Mzee Mengi na Lilian Sophia Kimaro haikuwa Harusi,kuna watu kwa makusudi kabisa walizichomoa picha za mwanadada huyo kwenye Facebook na kuzitundika kwenye email za watu na mitandao mbalimbali.
ziwe zimetoma facebook au hi5 tatizo ni maudhui....
attachment.php

maudhui ya hii inaonekana kama ni baba na binti yake.....Mengi anaonewa....hii imefanyiwa photoshop.....imechomolewa facebook....najua mods wataiondoa tu....
 
Attachments

  • mengi3.jpg
    mengi3.jpg
    42.4 KB · Views: 613
Yo YO,

You are killing me man ! I totally agree with you Mengi anaonewa. Fool me once, shame on you . Fool me twice, shame on me .
 
Back
Top Bottom