"Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

Mimi nadhani hii platform inataka kutumika ku-rehabilitate Mengi's image .

Platform ipi ? - hii JF unayoitumia na wewe ama nyingine. Does Mengi's image requires rehabilitation ? - mbele ya nani, mafisadi ?

I would care less wether ameoa au lah !

Then what the hell are you whining about.

Ila picha kama za faragha kama zile akiwa na mtoto ambaye anaweza kuwa mtoto wake , kwa mila zetu za kitanzania ni aibu !

Mila za kwenu wewe na nani ? - kwetu wengine ni heshima kubwa. Je, unajua mahusiano yake na huyo anayeweza kuwa mtoto wake ?

Nasijui hawa waandishi wanafanya nini , kama aikuwa harusi ilikuwa nini?

Hujui halafu unasema ni aibu - watu wengine bwana, are you sure you are okay ?

Hizi ni dalili za mafisadi kuanza kujikanganya na inaashiria kuwa kibano cha Mengi kinafanya kazi. Mimi si shabiki wa Mengi wala sina uhusiano naye, lakini kama maadui zake ndio maadui zangu namwambia dont give up the fight - tuko pamoja.
 
Mimi nadhani hii platform inataka kutumika ku-rehabilitate Mengi's image . I would care less wether ameoa au lah !

Yawezekana kinyume chake pia ni kweli; kwamba hii platform inataka kutumika kumchafua Mengi au kuharibu image yake mbele ya jamii.
Ila picha kama za faragha kama zile akiwa na mtoto ambaye anaweza kuwa mtoto wake , kwa mila zetu za kitanzania ni aibu !

Ah mzee Rufiji, hizi mila za kiafrika zinakuja kwenye picha? Unataka watu watu waamini kuwa ni kosa kumuoa au kuolewa na mtu ambaye mmpishana umri kiasi hicho? Kwamba Mengi atakuwa Mtanzania wa kwanza kumdondokea au kudondokewa na binti ambaye wamepishana umri?

Halafu hizi mila ni mila ya wapi inayosema kuwa watu wazima wawili hata wakiwa wamepishana umri hawawezi kupendana kwa sababu hiyo tu?

Sasa kama picha ingemuonesha Mengi na mtoto wa miaka 16 au au 17 hata mimi ningesema siyo tu anavunja mila lakini anavunja sheria! Sasa unisaidie, huyo Lilian ana akili timamu? Je kwenye picha zote ulizoziona kuna mahali popote kuna mtu amemshikia bunduki lilian na kumuambia awe na Mengi? Au kosa ni kwa vile ni Mengi?

Maana kama hilo ndilo kosa sidhani kama kuna mtu anaweza kulisahihisha.

Nasijui hawa waandishi wanafanya nini , kama aikuwa harusi ilikuwa nini?

Sasa unawauliza waandishi? Waandishi gani unawauliza wale waliosema kuwa ni harusi na imefungwa na Mkuu fulan wa wilaya? What if it was not a wedding after all. Ina maana Mengi asingetoka vile mbele ya hadhara au angejificha.

Huko mwanzoni nakumbuka watu walikuwa wanasema hivi au vile sasa mtu kaamua kutoka hadharani pia watu hawataki! Wanataka alazimike kukaa peke yake wakati anajua ndoa yake haina uhai tena.
 
Yo YO,

You are killing me man ! I totally agree with you Mengi anaonewa. Fool me once, shame on you . Fool me twice, shame on me .

attachment.php

Picha hazina matatizo, hiyo ilikuwa MASQUERADE BALL kwa hiyo mtu anaweza kuwa na yeyote. Tatizo ni kama ndoa ilifanyika kwanini aikane?
 
Mimi ndhani Mengi anapojitokeza kwa habari kama hizi ndio kwanza anaharibu zaidi kwa sababu ni muda mfupi tu baada ya kusoma habari hii nimeunganishwa na sol jingine kuwa huyo binti (ktk Picha) ana watoto watatu na wa mwisho kazaa na Masha!...
Sasa inabidi mzee wetu atafute blanketi ajifunike maanake unapowafuata waandishi wa habari hasa ktk nchi ambayo Udaku unauzika kuliko taarifa za habari..Utaumia mwenyewe.
 
List ya mambo ambayo Megi ameonewa..

Mengi vs Dtv--
Mengi vs Manji
Mengi vs Malima JR
Mengi vs Waziri kijana
Mengi vs Picha zake mwenyewe

This is preposterious ....if it walks like a duck , it smells like a duck ..then it is a duck.

yaani unaona hilo haliwezekani? Hivi unajua MLK Jr aliandikwa mara ngapi na vyombo vya watu weupe wakati wa harakati wa haki za raia? Je Obama ameandikwa mara ngapi kwenye vyombo vya mrengo wa kulia? Unafikiri kweli wakati Mandela anaongoza mapambano kula SA jina alikuwa haandikwi in such an unflattering terms?

Ninavyoona mimi nikiangalia mifano hiyo hapo juu na kinachoendelea ni kana kwamba Mengi ni tishio fulani hivi. Tatizo ni tishio kwa nani? Hivi kwa sekunde chache magazeti ya Mengi yakikoma kuandika kwa uwazi na undani kuhusu masuala ya ufisadi yakafungwa (kama inavyotarajiwa) NI mfanyabiashara gani wa Kitanzania ambaye anaweza kuthubutu kufanya hivyo tena?

Of course nawajua:

a. Karamagi
b. Manji
c. Lowassa
d. Chenge
e. Bakheresa
f.. .. (nipatie majina mengine ya wafanyabiashara wanaoweza kuruhusu magazeti yao kuandika hivi vinavyoandikwa).
 
Mimi ndhani Mengi anapojitokeza kwa habari kama hizi ndio kwanza anaharibu zaidi kwa sababu ni muda mfupi tu baada ya kussoma habari hii nimeunfganishwa na sol jimgine kuwa huyo binti (ktk Picha) ana watoto watatu na wa mwisho kazaa na Masha!...
Sasa inabidi mzee wetu atafute blanketi ajifunike maanake unapowafuata waandishi wa habari hasa ktk nchi ambayo Udaku unauzika kuliko taarifa za habari..Utaumia mwenyewe.

Tena toto zuri na ni mother of three. Sioni kwanini akane kama ni kweli.
Kwa hiyo ule ugomvi na Masha inawezekana ulisababishwa na ugomvi wa kuibiana mwanamke?!!!
 
Au swali jingine;

Kama ndoa haikufanyika kwanini aikubali?

Unarudia kitu kile kile au nikusaidie kuweka wazi zaidi:

- Magazeti yatakuwa yanamwonea Mengi na kuandika udaku kama Mengi hajamuoa Lillian Sophia Kimaro

- Mengi atakuwa MUONGO na MNAFIKI kama ndoa ile ni ya kweli.

Tuko pamoja?
 
Mimi ndhani Mengi anapojitokeza kwa habari kama hizi ndio kwanza anaharibu zaidi kwa sababu ni muda mfupi tu baada ya kussoma habari hii nimeunfganishwa na sol jimgine kuwa huyo binti (ktk Picha) ana watoto watatu na wa mwisho kazaa na Masha!...
Sasa inabidi mzee wetu atafute blanketi ajifunike maanake unapowafuata waandishi wa habari hasa ktk nchi ambayo Udaku unauzika kuliko taarifa za habari..Utaumia mwenyewe.

Mzee nakubaliana na wewe, lakini kama huyo dada ana watoto watatu na wa mwisho "kazaa" na Masha hilo linahusiana vipi na uamuzi wake wa kumpenda Mengi na kuamua kuwa naye? Kwamba kama asingekuwa na watoto ingekuwa ok?

Imewahi kusema kuwa "kipendacho roho..." Sasa mimi sijui nini kinaendelea, na sijali sana huyo dada huko nyuma aliwahi kulala na nani na wapi, sijali kabisa kama Mengi aliwahi kuwa na x,y, na z Kwangu la msingi ni kuwa watu hawa wazima na akili zao timamu, wanajua hayo yote ambayo tunafikiri hawajui (kama mtu ana watoto watatu), na wao wakaamua kuwa pamoja kwa kufuata kile mioyo yao imewahakikishia (at least kwa wakati huu).

Kwanini tuone hilo baya. Kama kwao ni jema, familia zao zimekubali na hakuna shurti baina yao, kwanini sisi tusumbuke vichwa vyetu kufanya ionekane kana kwamba ni vibaya?
 
Tena toto zuri na ni mother of three. Sioni kwanini akane kama ni kweli.

Kama si kweli kwanini akubali. Au ungependa akae kimya. Wengine wanasema ukimya una maana ya "ndiyo".
Kwa hiyo ule ugomvi na Masha inawezekana ulisababishwa na ugomvi wa kuibiana mwanamke?!!!

Huwezi kumwiba mwanamke mwenye akili timamu.. kwanini tunawafikiria wanawake so low! Hivi huyo mdada kwenye picha anaonesha wasiwasi wa kuwepo mahali ambapo hakutaka kuwepo au amelazimishwa kuwepo (kaibwa?)
 
Unarudia kitu kile kile au nikusaidie kuweka wazi zaidi:

- Magazeti yatakuwa yanamwonea Mengi na kuandika udaku kama Mengi hajamuoa Lillian Sophia Kimaro

Njia pekee ya kuthibitisha kuwa kaoa au hajaoa ni ipi? Picha?

- Mengi atakuwa MUONGO na MNAFIKI kama ndoa ile ni ya kweli.

Tuko pamoja?

nakubaliana na wewe hapo. Njia pekee ni yule anayedaiwa kuwafungisha ndoa au mashahidi wa ndoa hiyo kujitokeza hadharani na kuonesha uongo wa Mengi siyo?
 
it was a MASQUERADE BALL..sio BDAY PARTY OR HARUSI.
it was an exclusive invitees only event,nyumbani kwa bwana mengi kinondoni

only 100 people.
PARTY PLANNER FLEW IN FROM S.AFRICA,THE EVENT COSTED MILLIONS OF Tshillings.

NI KWELI MR MENGI ALIMTAMBULISHA LILIAN KIMARO AS HIS WIFE,NA WASHAVALISHANA PETE BUT NO PLANS FOR HOLDING A WEDDING FOR REASONS KNOWN TO EVERYONE......AMEOA ALREADY!!

yawezekana umesema ukweli mkubwa zaidi kuliko makala ndefu zilizoandikwa kuhusu suala hili.
 
Njia pekee ya kuthibitisha kuwa kaoa au hajaoa ni ipi? Picha?

nakubaliana na wewe hapo. Njia pekee ni yule anayedaiwa kuwafungisha ndoa au mashahidi wa ndoa hiyo kujitokeza hadharani na kuonesha uongo wa Mengi siyo?

Sawasawa. Mashahidi na/au Register kama vipo. Kwanini waandishi wasifanye Investigative Journalism kukata mzizi wa fitna.
 
Mzee Mwanakijiji,
Tatizo liko wapi hapa mkuu wangu!... Mengi anachukua kimwana hizo habari za ndoa wala hazina uzito kwetu kwa sababu tunaelewa kuwa Mengi anazuia na kesha mmwaga Rita...
Mengi anajulikana mjini na mtoto kesha hamia ndani ya nyumba.. watu wanafahamu kuwa hizo picha zimechukuliwa nyumbani kwa Mengi na kibaya zaidi zimechukuliwa chumbani, iweje mzee mzima akubali kuchukuliwa picha kama zile ambazo kama hakuoa zitaharibu zaidi jina lake..
Ebu rudia kuzitazama picha zote kisha fikiria tu kwamba huyo mwanamke sii mkewe.. kisha nambie huyo mwanamke kwa kujirahisisha vile kwa mtu ambaye sii mumewe waswahili tutamwita vipi!..
Mengi anachemsha hizi habari zitazidi kuharibu image yake aachane nazo kabisa kwani kibongo bongo hakuna haramu hapa!..
 
Sawasawa. Mashahidi na/au Register kama vipo. Kwanini waandishi wasifanye Investigative Journalism kukata mzizi wa fitna.

Insurgent.. Mengi kawaambia hivi according to Habari Leo "Naomba msiniulize maswali, nyie wenyewe fanyeni utafiti ndio maana mnaitwa waandishi makini,”

Sasa hadi subject mwenyewe anawaambia wakafanye utafiti, utafiti ambao wala hauendi mbali like.. muulize Mkuu wa Wilaya "hey Mr. Mkuu wa Wilaya, did you officiate at Mr. Mengi and Ms. Kimaro wedding"?

Now you tell me..
 
Mwanakijiji, do you have an axe to grind in this? Maana unamtetea sana Mengi aisee....
 
Insurgent.. Mengi kawaambia hivi according to Habari Leo "Naomba msiniulize maswali, nyie wenyewe fanyeni utafiti ndio maana mnaitwa waandishi makini,”

Sasa hadi subject mwenyewe anawaambia wakafanye utafiti, utafiti ambao wala hauendi mbali like.. muulize Mkuu wa Wilaya "hey Mr. Mkuu wa Wilaya, did you officiate at Mr. Mengi and Ms. Kimaro wedding"?

Now you tell me..

Inabakia pale pale, ikiwa baada ya uchunguzi itabainika magazeti yaliandika uongo:

- Basi yatashusha hadhi kwa kuandika udaku na ana haki ya etc etc
- Kama yameandika ukweli na ushahidi utathibitisha basi Mengi atakuwa Muongo na Mnafiki. Sifa ambazo hazifai kwa kiongozi.

Now you tell me...
 
Mzee Mwanakijiji,
Tatizo liko wapi hapa mkuu wangu!... Mengi anachukua kimwana hizo habari za ndoa wala hazina uzito kwetu kwa sababu tunaelewa kuwa mengi anazuia na kesha mmwaga Rita...

Sawa;

Mengi anajulikana mjini na mtoto kesha hamia ndani ya nyumba..

Sawa; Unaposema "mtoto" unamaana ya mpenzi wake na siyo mtoto kwa maana ya umri au uwezo wa kiakili, i presume;

watu wanafahamu kuwa hizo picha zimechukuliwa nyumbani kwa Mengi na kibaya zaidi zimechukuliwa chumbani, iweje mzee mzima akubali kuchukuliwa picha kama zile ambazo kama hakuoa zitaharibu zaidi jina lake..

Sidhani kama umeona mahali ambapo Mengi kazikana hizo picha au kulalamika kuchukuliwa picha na mpenzi wake. Kama alitaka kupiga picha na mtu anayempenda ambaye kwa maneno yake watu tayari wanajua, how would that tarnish his image? Kama watu walikuwa wanajua tayari kuwa yuko na Lilian, kwa jinsi gani picha zitaongeza kitu tofauti ya kile ambacho tayari kinajulikana.

Mimi nilikuwa najua and so many other people knew about this relationship. Nilipoona picha nikasema "wamependeza"! Ilinibadili mawazo yangu juu yao not really just confirmed to me that love is sometimes stronger than magnet.. na inaweza kukufanya ufanye things deemed to be unconventional.

Ebu rudia kuzitazama picha zote kisha dffikiria tuy kwamba huyo mwanamke sii mkewe..

Si mkewe lakini pia si dadake! Nimeziangalia na kuona ni watu wawili wenye akili timamu, watu wazima na ambao wana haki ya kufanya kile ambacho wao wawili wamekubaliana kufanya.

kisha nambie huyo mwanamke kwa kujirahisisha vile kwa mtu ambaye sii mumewe waswahili tutamwita vipi!..

Kwanini unasema kujirahisisha; kaamua kufuata kile anachotaka kwa mapenzi yake mwenyewe akiwa na akili timamu akijua kuwa amewahi kuolewa na mengi amewahi kuoa na wote wawili wanawatoto na wenzi wengine. Hivi kweli unafikiri Mengi na Lilian hawakujua hayo yote hadi wakakubaliana mapenzi au ni mimi na wewe ndiyo tumegundua hilo?

mengi anachemsha hizi habari zitazidi kuharibu image yake aachane nazo kabisa kwani kibongo bongo hakuna haramu hapa!..

Habari kwamba yuko Lilian (ambazo umesema tayari zinajulikana) au habari kuwa amepiga picha chumbani akiwa na Lilian, au kwamba habari kuwa yeye hajafunga ndoa rasmi na Lilian kitu ambacho hakijajulikana? Maana kama ni image imeshachafuka, sijui anaweza kuichafua vipi zaidi.

kwamba akae kimya na kuendelea kuzushiwa au kudaiwa mambo ambayo ukweli wake ni rahisi kuupata.
 
Inabakia pale pale, ikiwa baada ya uchunguzi itabainika magazeti yaliandika uongo:

- Basi yatashusha hadhi kwa kuandika udaku na ana haki ya etc etc
- Kama yameandika ukweli na ushahidi utathibitisha basi Mengi atakuwa Muongo na Mnafiki. Sifa ambazo hazifai kwa kiongozi.

Now you tell me...

kwa hiyo, wewe unareserve your judgment pending further reporting on the issue kwa sababu tunasubiri upande wa tatu siyo (kusema ndiyo kulikuwa na ndoa au kulikuwa hakuna ndoa).? Au haijalishi kitasemwa nini kesho?
 
Back
Top Bottom