Mother tongue and first language whats the difference

Mother tongue ni Rugha yako ya asili japo hauijuwi kuongeya ni kama vile mother land yaani kwenu kwa asili haijalishi kuzaliwa ama kuishi.first Language ni Rugha unayo ongeya kwa mapana zaidi kuliko zingine.
 
Back
Top Bottom