Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

Ona sasa, mnajichanganya wenyewe mara mapato ya serikali, mara sijui nini 😁 wewe umekuja na dadi ya benki tena, nyie watu bwana 😁

Faiza foxy alikosea kusema "Hizo shule mlienda kusomea ujinga"??
Teh! Si uliuliza swali kuhusu mzunguko wa pesa?! Benki=Pesa
 
e10c549cda2151bed1145c51370fd183.jpg
2025
 
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Haujafika manispaa ya Rorya wewe
 
Haka ka mji kamechoka, kamepauka hakana maendeleo nilimaliza hapo mary goreti mwaka 2000 ila hadi leo mji uko vilevile. Wachaga mpunguze maneno rudini kwenu mkapaendeleze lol
We Piriii Wewe????

2000 ndiyo umemaliza Gorettian?
Mwaka huo umemaliza O level au A level?
 
Back
Top Bottom