Unazunguka, na wala hueleweki unachotaka
Umeongea sana kuhusu mapato,, nimekuwekea
1. Dar es Salaam = 23,896,520 (17.1%)
2. Mwanza = 10,285,442 (7.4%)
3. Mbeya = 7,849,917 (5.6%)
4. Shinyanga incl.Simiyu = 7,175,982 (5.1%)
5. Morogoro = 6,716,296 (4.8%)
6. Arusha = 6,562,356 (4.7%)
7. Tanga = 6,548,355 (4.7%)
8. Kilimanjaro = 6,298,586 (4.5%)
9. Geita = 6,211,376 (4.4%)
10. Ruvuma = 5,317,073 (3.8%)
Top ten ya Mikoa inayoongoza kuchangia pato la Taifa
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Moja kwa moja kwenye mada,Kila mkoa na wananchi wake wanachangia sana kukuza uchumi wa Nchi na pato lao,lakini Ifuatayo ni Mikoa 10 ya wachapa kazi inayoongoza kuchangia pato la Taifa "GDP" zaidi kuliko Mikoa mingine.Ni muhimu kuibainisha...www.jamiiforums.com
Kwa nini kwenye figure ya Mkoa wa Shinyanga na mapato ya Simiyu yamejumuishwa?
Hiyo ni Mikoa miwili tofauti na kila mmoja unajitegemea kwa kila kitu, hivyo hiyo figure uliyoiainisha tunaigawa kwa 2, hapo ndo utajua maana ya MAGAZIJUTO
Jambo jingine: Hujaweka chanzo "Source", takwimu zako ni invalid