Ni kweli kabisa, sijui kama kutatokea mtumishi wa Mungu kama Askofu Mosses Kulola, nakumbuka wakati ule bado nipo kijana mdogo alianza kazi kwa kutembea kwa mguu wilaya mpaka wilaya akiwa na kabegi kake mkononi. Wahubiri wetu wa leo mpaka wapelekwe kwa Hummer na misafara kama Wanasiasa.Mzee Ailey yatoa maisha yake toka wakati aw Juana hatamwisho kwaajili ya kumtumikia Mungu bila kutenda walk Kutamani Mali na kujilimbikizia ni Mfano aw kuitwa kwa viongozi aw Jamii Hassa watumishi aw Mungu .Kanisa la EAGT lime pasta pengo KUBWA
Nimepokea taarifa kutoka kwa Rev. Daniel Kulola ambaye ni mtoto wa Bishop Moses Kulola kwamba, Askofu Kulola amefariki dunia muda mfupi uliopita. Nitaendelea kuwapa updates. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe.
/QUOTE] ALAZWE MAHARI PEMA KATIKA UFALME WA MUNGU. E Mungu uliyemtuma Moses kuhubiri kwa mafanikio kiasi hiki, tunakuomba mpe pumziko analostahili Nabii aliyefanya kazi njema. RIP Moses
Mshahara wa dhambi ni mauti............Jesus Christ!
mzee askofu dk moses kulola amefariki dunialeo asubuhi kwa maradhi ya mapavu
mzee kulola atakumbukwa kwa mengi mema aliyo fanya katika taifa letu kuhamasisha umoja na mshikamano
aha! apumzike kwa amani, huyu ndie alimfundisha ZACHARIA KAKOBE kuhubiri, ingawa kakobe mpaka leo akubari swala hili...... poleni sana wafiwa na mchujuku wako flora mbasha pole pia