Moses Kulola, Askofu Mkuu wa Makanisa ya EAGT afariki dunia

Kwa simanzi na masikitiko tumepoteza ndugu kiongozi. Ndiyom hali ya dunia na njia ya wote.
Alale pema. Poleni kwa wote.
 
OOPS!!!!!!!!! Baba ulipigana vita vizuri na imani uliilinda, wengi wamemjua Yesu kupitia kwako. Kazi yako itadumu.

Mungu atukuzwe.
Poleni familia ndg na kanisa.
 
Msiba uko wapi? Ni hapo Capripoint jijini Mwanza au kuna mji mwingine.
 
YOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ni sauti tena yenye zege ambayo kila aliyewahi kuisikia ni vizuri tu akageuka leo kufuata ilikokuwa inamwelekeza maana for SURE ataisikia tena siku moja na majuto yatafuata; kwamba uliisikia sauti (YOOOOO!!!) lakini ukaipuuzia
 
Nimeishiwa maneno ya kusema. Nakumbuka tulikuwa sote kipindi kile cha misukosuko ya kanisa la TAG Askofu akiwa Emmanuel Lazaro mpaka ikapelekea kuanzishwa EAGT. RIP Baba askofu.
 
Back
Top Bottom