Moses Kulola, Askofu Mkuu wa Makanisa ya EAGT afariki dunia

Mzee Ailey yatoa maisha yake toka wakati aw Juana hatamwisho kwaajili ya kumtumikia Mungu bila kutenda walk Kutamani Mali na kujilimbikizia ni Mfano aw kuitwa kwa viongozi aw Jamii Hassa watumishi aw Mungu .Kanisa la EAGT lime pasta pengo KUBWA
 
Sauti yake nzito "Ndiyoooooooooooooooooooooooooooo...." yenye upako haitasikika tena masikioni mwa mwili huu wa nyama isipokuwa wale tu tutakaopigana vita vizuri mpaka mwisho tutaonana naye tena.

Wakati tukisikitika tusisahau kujikagua je mtu wetu wa ndani anayo tiketi ya kupita kwenye lile lango ambalo Baba askofu alipenda kuliimba kila mara alipopata nafasi, "Lango lango lango la mbinguni li wazi, lango ndiye Yesu bwanaa wote waingieeee kwake". Turudie tena chorus hiyo wakati tukijitathimi.
 
Poleni wafiwa namkumbuka kwa usemi wake "Unapenda niseme"
 
Vita vya Bwana umepigana, imani umeilinda kwa ujasiri na hatimaye umevikwa taji. Hakika idadi isiyofikirika ya malaika wa Mbinguni wanamsifu Bwana Yesu kwa ajili yako. Pumzika kwa Amani. Ole ni wetu tusiojua hata tunataka nini.
 
Mzee Ailey yatoa maisha yake toka wakati aw Juana hatamwisho kwaajili ya kumtumikia Mungu bila kutenda walk Kutamani Mali na kujilimbikizia ni Mfano aw kuitwa kwa viongozi aw Jamii Hassa watumishi aw Mungu .Kanisa la EAGT lime pasta pengo KUBWA
Ni kweli kabisa, sijui kama kutatokea mtumishi wa Mungu kama Askofu Mosses Kulola, nakumbuka wakati ule bado nipo kijana mdogo alianza kazi kwa kutembea kwa mguu wilaya mpaka wilaya akiwa na kabegi kake mkononi. Wahubiri wetu wa leo mpaka wapelekwe kwa Hummer na misafara kama Wanasiasa.
 
aha! apumzike kwa amani, huyu ndie alimfundisha ZACHARIA KAKOBE kuhubiri, ingawa kakobe mpaka leo akubari swala hili...... poleni sana wafiwa na mjukuu wako flora mbasha pole pia
 
Nimepokea taarifa kutoka kwa Rev. Daniel Kulola ambaye ni mtoto wa Bishop Moses Kulola kwamba, Askofu Kulola amefariki dunia muda mfupi uliopita. Nitaendelea kuwapa updates. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe.

/QUOTE] ALAZWE MAHARI PEMA KATIKA UFALME WA MUNGU. E Mungu uliyemtuma Moses kuhubiri kwa mafanikio kiasi hiki, tunakuomba mpe pumziko analostahili Nabii aliyefanya kazi njema. RIP Moses
 
mzee askofu dk moses kulola amefariki dunialeo asubuhi kwa maradhi ya mapavu

mzee kulola atakumbukwa kwa mengi mema aliyo fanya katika taifa letu kuhamasisha umoja na mshikamano


mwenyezi mungu amlaze pema peponi askofu kulola....ampe nafasi pamoja na watakatifu...amin...amin....amin
 
Jina la Bwana libarikiwe!!
Amani kwa familia yake, kanisa la kristu na wapenda amani wote!
 
Back
Top Bottom