Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

Hongera polisi Morogoro tumechoka na maandamano yasiyo kuwa na faida kila kukicha CHADEMA na maandamano watu tuko kazini ,sensa huku maandamano.

Hk ni chama gani mbona CCM,CUF wanafanya mikutano bila maandamano? yani chama hiki CHADEMA kimekaa kivisa viisa tu na wanatafuta chokochoko tu na serikali na kwa nini wananchi tunakubali kutumiwa
.

Akili Fupi!
 
ccm walipania sana kuharibu matokeo yake wameua asiyehusika.kazi wanayo.freedom is coming soon
 
Jk usifikiri ghadafi alipenda kusokomezwa vijiti kwenye naniliiiii..alikuwa hivi hivi kama wewe
 
Kwa hiyo Lissu ndo kaachia risasi? Mtu kuandamana inakuwaje kosa linalostahili kifo. Sijuhi imani yako lakini tumia hata akili kidogo ya kuzaliwa.

Kwa nchi inayofuata utawala wa sheria, kuandamana kuna taratibu zake na Lissu ni mwanasheria anajua hilo vizuri. Kuhamasisha watu waandamane ni kuvuruga amani na polisi hawapo kwa ajili ya kuuza mbege. Tunanunua risasi za moto kwa kodi zetu ili watulinde dhidi ya wavunja amani.
 
Kuna jamaa yangu mmoja ana nickname ya "kifaru" AKA Max,last time alikuwa moro,na ninavyomfahamu,sidhani kama atakuwa gamba,I was hoping we ni the same kifaru,if not pouwa tu,ila nimependa jibu lako kwa huyo kilaza.
I am different Kifaru, huyo kilaza ni gamba achana naye. Haki haiombwi bali inatwaliwa
 
Tumaini Makene nakuuliza.."Je,waandamanaji walithubutu kuwashambulia polisi kwa mawe ama vyombo vya moto?".

Poleni wana Morogoro kwa kadhia hii.
 
Hongera polisi Morogoro tumechoka na maandamano yasiyo kuwa na faida kila kukicha CHADEMA na maandamano watu tuko kazini ,sensa huku maandamano.

Hk ni chama gani mbona CCM,CUF wanafanya mikutano bila maandamano? yani chama hiki CHADEMA kimekaa kivisa viisa tu na wanatafuta chokochoko tu na serikali na kwa nini wananchi tunakubali kutumiwa
.

Haya ndo matatizo ya kutumika sana huko nyuma!! na bado lazima wakushushe mgongo!
 
Hongera polisi Morogoro tumechoka na maandamano yasiyo kuwa na faida kila kukicha CHADEMA na maandamano watu tuko kazini ,sensa huku maandamano.

Hk ni chama gani mbona CCM,CUF wanafanya mikutano bila maandamano? yani chama hiki CHADEMA kimekaa kivisa viisa tu na wanatafuta chokochoko tu na serikali na kwa nini wananchi tunakubali kutumiwa
.

icho kifo assume ni ndugu yako.usingeandika haya
 
jamani mimi napenda mageuzi lakini sasa hofu yangu ni kwamba tunatakiwa kutii sheria tusionekane sisi
tunapenda fujo!!! sasa hebu angalia kina mama wanataabika na hayo mabomu wakiwa na watoto jamani!!!!

kama vp wangeenda tu kimya kimya kwenye mkutano kwani kinachotakiwa si ni kusikia ujumbe? au kuna zaidi ya hapo?
jamani tujitahidi kuwa wapole kina mama ndo wapiga kura wakikasirika je? tutapata wapi kura 2015?????/
ni maoni yangu jamani!!!!
 
Hapo ndo nazidi kulia na IGP Mwema, aondoke!!!
Nasikia ni shemeji wa yule mpangaji wa magogoni ndo kamuweka baba,sisi tulio wanyonge tusimuache Mungu wetu ndie atakayetuokoa na udhalimu huu wenye damu zisizo na hatia zilizomwagwa kwa makusudi kabisa...Aluta Continue!!!
 
Kwa nchi inayofuata utawala wa sheria, kuandamana kuna taratibu zake na Lissu ni mwanasheria anajua hilo vizuri. Kuhamasisha watu waandamane ni kuvuruga amani na polisi hawapo kwa ajili ya kuuza mbege. Tunanunua risasi za moto kwa kodi zetu ili watulinde dhidi ya wavunja amani.

Jibu hoja koko wewe adhabu ya kuandamana ni kupigwa risasi?
 
Pumbavu Lissu, ninyi mngekwenda kwenye mkutano wenu kama mlivyofanya sehemu nyingine angekufa mtu? Damu za hawa masikini zitakuwa kwenye mikono yenu wasaka madaraka.

Kwa coment zako wewe ni sawa na mbwa unayeshindwa kutumia hata mkia wako kufukuza nzi,iq yako ni ndogo sana!go to hell!
 
jamani mimi napenda mageuzi lakini sasa hofu yangu ni kwamba tunatakiwa kutii sheria tusionekane sisi
tunapenda fujo!!! sasa hebu angalia kina mama wanataabika na hayo mabomu wakiwa na watoto jamani!!!!

kama vp wangeenda tu kimya kimya kwenye mkutano kwani kinachotakiwa si ni kusikia ujumbe? au kuna zaidi ya hapo?
jamani tujitahidi kuwa wapole kina mama ndo wapiga kura wakikasirika je? tutapata wapi kura 2015?????/
ni maoni yangu jamani!!!!

Tumekuelewa magino
 
icho kifo assume ni ndugu yako.usingeandika haya
Ndo maana unatakiwa utambuwe kuwa wanaoitetea CCM humu si wananchi wa kawaida,si watu wenye huruma.

Na unajua characteristics za watu wasiokuwa na huruma,ndo mafisadi wenyewe hao.Hakuna mwananchi wa kawaida anayeweza kutetea huu unyama dhidi ya mwananchi mwenzake.
 
jamani mimi napenda mageuzi lakini sasa hofu yangu ni kwamba tunatakiwa kutii sheria tusionekane sisi
tunapenda fujo!!! sasa hebu angalia kina mama wanataabika na hayo mabomu wakiwa na watoto jamani!!!!

....
Hakuna mantiki hapa,yani wapigwe mabomu na serikai ya mafisadi halafu waichukie chadema,unaishi wapi wewe?inaonekana hapo ulipo hata nje hujui kunaonekana vipi.Unasound kama "kuku wa kisasa" kwenye banda.Pole sana,subiri siku ya "kuchinjwa" watu wale nyama.
 
Hongera polisi kwa kuua? Akili ya kitoto hiyo. Kazi na sensa vinakujaje hapa? Shughuli za binadamu zinagawanyika kaka,wengine wanalima, wengine wanazalisha na wengine wanatimiza wajibu wao kama wanaharakati! Naamini maandamano yangeachiwa yaendelee yangefika walikokuwa wakielekea na pasingevunjika amani kama ilivyotokea sasa. Mungu amrehemu kijana wa watu. By the way, kupigwa risasi kichogoni kama inavyoelezwa inamaanisha alikuwa anaondoka sehemu ya tukio-hakuwa confrontor! Ya RSA wiki ya jana yanaendelezwa hapa.
 
Back
Top Bottom