Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

Nimepishana na magari matatu yaliyosheheni FFU yakifuatiwa na gari la maji ya kuwasha yakielekea Morogoro. Hapa ni Kibaha. Inavyoonekana,hawa wanakwenda kuongeza nguvu Morogoro. Yako kasi ya ajabu. Hali ni tete...
 
Tundu Lissu anasema hakuna damu ya Mtanzania iliyotolewa uhai na jeshi itakayo achwa bila kupatiwa majibu,amemuambia Shilogelle atajibu kifo cha mwana Morogoro wa leo.
......

Kayasema wapi haya katika mkutano hapo moro au ???
 
Silaha walizonazo wanazitumia kulinda mafisadi na kuuwa raia wema.Hivi kati ya fisadi na huyo dogo nani alistahili risasi ya kichwa?yani haya hayatakiwi yaachwe yapite,tunajuwa hakutakuwa na haki,lakini ni lazima tuhakikishe damu hii ya innocent citizen haijamwagika bure!hii haiwezekani kabisa mseme eti mko kwenye utawala wa demokrasia,is this realy the government for the people,and by the people?I doubt it...
 
taarifa zilizopo ni kuwa CDM walipewa eneo la 'fire' kwa ajili ya mkutano wao, sasa wakaanzisha na maandamano, jambo ambalo nafikiri limewalazimisha polisi kutumia nguvu.

Hongera polisi Morogoro tumechoka na maandamano yasiyo kuwa na faida kila kukicha CHADEMA na maandamano watu tuko kazini ,sensa huku maandamano.

Hk ni chama gani mbona CCM,CUF wanafanya mikutano bila maandamano? yani chama hiki CHADEMA kimekaa kivisa viisa tu na wanatafuta chokochoko tu na serikali na kwa nini wananchi tunakubali kutumiwa
.
 
ukweli haupigwi pingu,ukweli huzidi enea zaidi ya moto wa nyikani.

Ni muda unaosubiriwa,polisi watajirudi,askari wapya ni cdm,hao wanaoleta vurugu ni wa enzi za mkapa.

Muda muafaka waja!
 
Nikiona au kusikia haya yote najiuliza Inakuwaje bado kuna watu wapo hata hapa jamvini wanashabikia CCM!!! Inakuwaje mtu anayekwenda kanisani au msitikini bado anashabikia CCM!! Inakuwaje mtu mwenye akili hata ya mpekeleka chooni bado anashabikia CCM!!

Mungu tusaidie
 
Tundu Lissu anasema hakuna damu ya Mtanzania iliyotolewa uhai na jeshi itakayo achwa bila kupatiwa majibu,amemuambia Shilogelle atajibu kifo cha mwana Morogoro wa leo.

Atasimama mbele ya Watanzania na ajibu kwa nini ameua,anasema Shillogile na wauaji wa Arusha siku yao ipo wawe wamevaa magwanda au wawe wamevua magwanda siku yao ipo.

Pumbavu Lissu, ninyi mngekwenda kwenye mkutano wenu kama mlivyofanya sehemu nyingine angekufa mtu? Damu za hawa masikini zitakuwa kwenye mikono yenu wasaka madaraka.
 
hongera polisi morogoro.... tumechok na maandamano yasiyo kuwa na faida kila kukicha chadema na maandamano...watu tuko kazini ,sensaa huku maandamano..hk ni chama gani mbona ccm,cuf wanafanya mikutano bila maandamano???..yani chama hiki chadema kimekaa kivisa viisa tu na serikali wanatafuta chokochoko tu na serikali..na kwa nini wananchi tunakubali kutumiwa
Hata akili inayokutuma kwenda chooni inabidi ikuonyeshe kuwa Hujui Usemalo
 
nyie polosi hamfiki hata 0.5% ya raia. msitumike kutuhujumu,msitumike kukinga matakwa ya walio wengi,msitumike dhidi ya nguvu ya umma, siku tukiamua hamtatuweza.
 
Pumbavu Lissu, ninyi mngekwenda kwenye mkutano wenu kama mlivyofanya sehemu nyingine angekufa mtu? Damu za hawa masikini zitakuwa kwenye mikono yenu wasaka madaraka.

U must be in toilet!
 
hongera polisi morogoro.... tumechok na maandamano yasiyo kuwa na faida kila kukicha chadema na maandamano...watu tuko kazini ,sensaa huku maandamano..hk ni chama gani mbona ccm,cuf wanafanya mikutano bila maandamano???..yani chama hiki chadema kimekaa kivisa viisa tu na serikali wanatafuta chokochoko tu na serikali..na kwa nini wananchi tunakubali kutumiwa
mwehu wewe zoba kweli.huna lolote kafie mbele huko jambazo mkubwa,
 
Pumbavu Lissu, ninyi mngekwenda kwenye mkutano wenu kama mlivyofanya sehemu nyingine angekufa mtu? Damu za hawa masikini zitakuwa kwenye mikono yenu wasaka madaraka.

Kwa hiyo Lissu ndo kaachia risasi? Mtu kuandamana inakuwaje kosa linalostahili kifo. Sijuhi imani yako lakini tumia hata akili kidogo ya kuzaliwa.
 
Huwezi kuzuia moshi usionekane angani maana Mzee Makamba alisema Chadema ni sawa na moto wa mabua ila sasa anaweza kufuta kauli yake.
 
kwani wangeachwa kuandamana mpaka ktk hicho kiwabja pangetokea nini? Hakuna historia maandamano ya CDM yalileta fujo bila ya kuchokonowa na polisi. My late father alinusia years back baada ya kumaliza shule, enzi hizo Cassell forms ndizo zilikuwa zinatumika kuomba kazi ( kwa wenzanagu tuliokula chumvi kidogo wanazielewa Cassel forms) alisema kwamba "sitaki ufanye kazi ya polisi". Nilikua napenda kazi ya Detective. Sasa ninamuelewa vizuri.
 
Kalale pema peponi Kamanda!

Halafu huyo jamaa mwuguzi anayemkaguwa huyo kamanda aliyeuwawa na mafisadi kwa risasi hata "sanitation gloves" hana,halafu kuna wanaokuja huku kusema manesi waripotiwe wakipokea rushwa.Yani mijitu sijui ina akili gani,ni kama si mitanzania kabisa kwa jinsi wanavyoifanyia hii nchi na wananchi wake.
 
Back
Top Bottom