Monduli imetoa mawaziri wakuu wawili wenye kudhubutu na kufanya, CCM inajifunza nini.

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
13,010
21,764
Kiongozi hatokei Kila mahali na Kila kabila.
Wamasai ni moto wa kuotea mbali.
1. Sokoine - Monduli
2. Lowassa - Monduli

Weka Hapo Msuya , Kilimanjaro.

Sio Kila mahali unamchukua hapo Kiongozi.
 
Duh. Kuna mengi ya kutafakari na watu wa maeneo waliyotokea.

Leo hii Wana wafanyia figisu.

Naona na stress ya kuona kabila lake likiangamizwa lilimuuma sana Mzee wetu EL, Nadhani.
 
Back
Top Bottom