Monaban asomeshwa namba, anyang'anywa kiwanda cha unga

Hivi ni kweli alitoa msaada wa unga kipindi cha kampeni?? Maskini mzee wa chungu
Unga wake umeliwa na chungu kavunja lakini masela walikula kitimoto , ambacho inasemekana mtu akila hata uvunje vyungu vingapi mhusika hawezi kudhurika .
 
hapo kwenye bold huu msemo umenipita pembeni.. embu nieleweshe una maana gani maana naona ni takriban wiki unatumika
Hahaha sawa mkuu tuanzie hapa kwanza wewe ni chama gani ?? Maana huu msemo una wenye chama chao ,nisije nikakueleza ukaishia kunirushia ngumi
 
Aliyekuwa mmiliki wa kinu cha NMC,Arusha bw. Mollel aka Monoban ambaye alijaribu kushindana na Lema kugombea ubunge Arusha jijini amenyanganyewa rasmi kinu hicho.
Monoban aliyetumia raslimali nyingi kuijenga CCM Arusha aliangushwa vibaya kwenye ubunge na kuambulia kiti kimoja tuu cha udiwani amepokwa kinu hicho na kikakabidhiwa Bodi ya Mazao
Huu ni mwendelezo wa chama cha ngombe kuwatosa waliokisaidia bila mafanikio kama T paper
souce; Itv habari
 
JPM ! Na chuki kwa watu wa kaskazini mashariki ! Teuzi zake zote ni kanda " iree maarumu" Rais hatakiwi kufanya hivi inatugawa watanzania na kuzidisha chuki!
 
Ndiye yeye aligombea kwa tiketi ya ng'ombe akaangukia pua mbele ya kamanda Lema,

Vilevile ni kamanda wa UVCCM Mkoa, kaisoma.
ccm mchana...kwenye ccm huko nasikia kuna wanachama wa mchana usiku,huyu ni wamchana...usiku gamba,inabidi uwe na Xlay kuliona hii(quoted,kwa kada)
 
Back
Top Bottom