Moja ya Maamuzi Magumu ya JK ilikuwa kukulazimisha wewe Lowassa Kujiuzulu; Asema Nape Nauye

Mopaozi, heshima yako, nilitegemea ungesema yote niliyosema pale kuliko kukata kipande kidogo tu ambaye hakusikiliza kabisa atadhani niliishia hapo na HIVYO itakuwa umempotosha, hii SI sawa NADHANI . HATA HIVYO nakushukuru kwa kunisikiliza.
 
Kama walikuwa wanatafuta hoja ya wananchi kudiscuss mtaani naona wamefanikiwa. ila wasisahau kuwa ccm kwa sasa hawana chao 2015, hatuwezi kurudiya makosa ya 2005 mpaka leo kuwapa watu nchi ambao ni walowezi,majambazi,vibaka na walafi wa madaraka haiwezekani mpaka leo miaka 50 umeme umetushinda je wakiendeleya kututawala si ndio watatumaliza kabisa? matatizo kibao hakuna wa kutatua serikali imelala usingizi vijana hawana ajira,hamna umeme wa uhakika ,mafuta imepanda bei daa inatiya hasira ccm wamenganganiya kujivua gamba hata wajivue ngozi makosa ya nyuma hatuwezi kuyarudiya wamaliziye tu ungwe yao ila msaha 20151. wabunge wa ccm kila kitu ndiyo nyeusi wanafanya nyeupe na nyeupe kuwa nyeusi hata pale ambapo ukweli unaonekana daa tunaumiya sana hata nape azunguke tz inzima ila akaye akijua watanzaniya wa leo si wale wa juzi hatudanganyiki tena.
 
lowasa kujiuzuru ni ajali ya kisiasa kwa mujibu wa jk wala sio shinikizo. nape anamatatzo
 
Ahaa haa Napeee, Shule za kata si alijenga Lowasa? Tokea Lowasa ajiuzulu Serikali imefanya nini maana mnataja aliyofanya Lowasa mpaka kujiuzulu kwake kuwa ndio maamuzi magumu!
 
Kweli ukitaka mfahamu mtu vizuri mpatie uongozi ama pesa! Nape ametuangusha sana! Siku hizi napata shida kuelewa kama kizazi hiki cha vijana wa CCM kilichokulia Dsm kama kinaelewa na kuyatambua matatizo ya wananchi wa Tanzania! Uelewa wa vijana kama Nape kuhusu changamoto zinazoikabili Tanzania ni mdogo sana! Inasikitisha sana...
 
Walipovua gamba walivaa nini? Na hicho walichovaa kina faida gani kwa M-TZ wa kawaida? Umeme tu umewashinda. Hivyo kweli kuna mtu ambaye hana hasira nao.
 
Lowasa alileta mvua kutoka Malyasia. Tangu ameondoka, mvua hiyo pia imetoweka!!
 
Mopaozi, heshima yako, nilitegemea ungesema yote niliyosema pale kuliko kukata kipande kidogo tu ambaye hakusikiliza kabisa atadhani niliishia hapo na HIVYO itakuwa umempotosha, hii SI sawa NADHANI . HATA HIVYO nakushukuru kwa kunisikiliza.
Mkuu labda ungetufahamisha mengine uliyoongea,wengine hatusikilizi tena hyo radio..
 
'Wanashirikiana na baadhi ya vyombo vya habari'

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (NEC), Nape Nnauye, amefichua mkakati mzito wa kumchafua, unaodaiwa kufanywa na wapinzani wake kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Alisema mkakati huo unafanywa na watu wasioitakia mema CCM, wakiwemo baadhi ya wanasiasa kwa kutumia baadhi ya vyombo vya habari.

"Wameanza kutumia baadhi ya vyombo vya habari kutoa taarifa za kupika (cooked stories) ambazo zimeshaanza kutekelezwa kwa lengo la kukidhi matakwa na masilahi yao yakiwemo ya kuwagombanisha viongozi, wanachama na umma kwa ujumla," alisema Nape.

Ingawa hakuwa tayari kutaja vyombo vya habari alivyodai vimeandaliwa kumchafua yeye, Rais Jakaya Kikwete na wengine, Nape alisema baadhi ya taarifa hizo za uzushi zitaanza kuonekana leo.

Nape Nape Nape............usianze kutafuta mchawi mchana kweupe, usiwasingizie wana CCM mchawi ni maneno yako ukiwemo uongo wa kuwapa siku 90 wanachama ulowakuta sasa yanaanza kukurudi, umesema uzushi utaanza kuonekana leo ngoja tusubiri na usipoonekana huo utakuwa uongo mwingine na ndiye mchawi tunayemsema.
 
as if tulitegemea anything kipya kutoka kwenu. kama hutojali hebu dadavua hapa ulichoongelea, manake tumekata tamaa na nyie. u swallow ur words, everytime tunadhani tumewaelewa kumbe mmetuacha kituoni!

Mopaozi, heshima yako, nilitegemea ungesema yote niliyosema pale kuliko kukata kipande kidogo tu ambaye hakusikiliza kabisa atadhani niliishia hapo na HIVYO itakuwa umempotosha, hii SI sawa NADHANI . HATA HIVYO nakushukuru kwa kunisikiliza.
 
kaka hapo umeongea ukweli kabisa; watuambie baada ya kijivua gamba ni nini kilichoimprove kama tunashuhudi mfumuko wa bei ndo umezidi? Watz wa leo sio wa miaka ile huwezi kumdanganya tena. Watanzania wengi tunaamini CCM imeshashindwa kabisa na sera zake, mi namshauri nape yeye kama kiongozi kijana angechukua matatizo haya kama ya umeme, madini, maji, namengineyo wakafanyie kazi kwanza na wakishapata ufumbuzi warudi kutueleza watz nini wamefanya hapo tutawaelewa.

Walipovua gamba walivaa nini? Na hicho walichovaa kina faida gani kwa M-TZ wa kawaida? Umeme tu umewashinda. Hivyo kweli kuna mtu ambaye hana hasira nao.
 
Mwana nnauye mie sikusikiliza weka yote uliyoongea,wengne huwa hatusikiliz media wala kuangalia,maana serikali ya chama chako imeleta mgao
Mopaozi, heshima yako, nilitegemea ungesema yote niliyosema pale kuliko kukata kipande kidogo tu ambaye hakusikiliza kabisa atadhani niliishia hapo na HIVYO itakuwa umempotosha, hii SI sawa NADHANI . HATA HIVYO nakushukuru kwa kunisikiliza.
 
Muheshimiwa tuachane na siasa hizo hebu tueleze lini tatizo la umeme litakwisha tanzania hasa ukizingatia mlikuwa madarakani miaka zaidi ya 40 iliyopita? tueleze ni lini watz watakuwa na maji safi na salama na hasa ukizingatia tuna mito, maziwa tena makubwa, mabwawa, chemichemi na bahari, nini mikakati yenu sasa hasa baada ya kutawala nchi zaidi ya miaka 40 sasa mpaka mito mingine inaelekea kukauka? Ni kiasi gani watz wananufaika na madini, utalii nk? Nchi kwa nini iingie kwenye madeni makubwa alihali tuna madini ya aina mbalimbali alihali, gesi nk?

Hizo ndo vitu ambavyo unatakiwa kuzungumzia muheshimiwa

Mopaozi, heshima yako, nilitegemea ungesema yote niliyosema pale kuliko kukata kipande kidogo tu ambaye hakusikiliza kabisa atadhani niliishia hapo na HIVYO itakuwa umempotosha, hii SI sawa NADHANI . HATA HIVYO nakushukuru kwa kunisikiliza.
 
Wakuu hivi huyu Nnauye Jr. ni Nape ni Nape Feki?mm nilidhani hapo ndio angebomoka auelezee umma wa wa Tz na pia member wa Jf ambao tulikua hatujaelewa vizuri nini maana ya kuvua gamba!sasa alichoeleza wala hakitusaidii kuelewa mantiki nzima ya kuvua gamba walikua wanamaanisha nini!labda walikua na mantiki nzuri ili sie ndio tuliwaelewa vibaya!

Muheshimiwa hebu tueleze kinaga ubaga nini maana ya kuvua gamba?

Nawasilisha
 
Nape acha longolongo chapa kazi ni mapema mno kuanza kukimbia kivuli chako.

eti kweli umesema mafanikio ya sera ya magamba ni pamoja na watu mitaani na vijiweni kuongea neno Gamba, you are not serious.

siku hizi hata kubadili demu ni kujivua gamba.
 
Back
Top Bottom