Mods naomba mnisaidie kumfikishia ujumbe wangu huyu mdada anae jiita smile.

wapiii!!hzo mbwembwe tu mkuu,huyo smile mwenyewe,world bank inamtambua kwamba anaishi under dollar 1 kwa siku..
HEHEHEEEEE. Bro, angalia, Unawezakuta smile ndio wale wa under 1$-1.3$ per day. That might be true. Sema tu anaringa hapa maana hatuwezi kupata ushaidi.
 
waambie hao madogolas.. Baada ya kutengeneza coursework nzuri..wanarukaruka humu mJengoni.
(SMH) Yaani na wewe unashadadia kama...........! Unataka tusome 24 hours? Unanilipa? Man, acha umbea wewe.
 
dah mimi niishi kwa boom mimi ? boom la semister 2 ndo shoping yangu ya wkend moja hata akiwaomba bodi wampe na tution fee bado haitoshi hata wki kwangu ,pia am alergic to students niache kumiliki wazee wa atm mjini rejao nije kula vijisent vya dent? never,au anataka kula hela zangu maana mwisho wa mwaka huu mabonus kibao kwenye salary slip

Duuh, kumbe jamaa ni denti halafu anataka mambo makubwa, pole zake, ATAFULIA OOOOH!
 
Back
Top Bottom