Mods naomba mnisaidie kumfikishia ujumbe wangu huyu mdada anae jiita smile.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Mwambien nampenda sana,ila nashndwa kujieleza moja kwa moja kwake coz ya tabia yake ya kutokujibu PM zangu.
 
kwa hiyo kama wewe hakujibu mods ndo atawajibu?kwani wao wana njia ippinyingine ya kumfikia
 
Nyuzi zako na historia yako humu haikuweki kama mwanaume wa kutegemewa na kuaminiwa. Pia kutoa kwako siri za wasichana wako hazivutii ladies!

Ushauri; ingia na ID nyingine na uact kigentleman zaidi then umtokee upya. (kama hatakushitukia)
Lol kavu kavu bila hata maji ya kushushia Kaunga?
 
Nyuzi zako na historia yako humu haikuweki kama mwanaume wa kutegemewa na kuaminiwa. Pia kutoa kwako siri za wasichana wako hazivutii ladies!

Ushauri; ingia na ID nyingine na uact kigentleman zaidi then umtokee upya. (kama hatakushitukia)

Senator anapenda kupost Jukwaa hili la Complaints kuliko zoooote. Na akikosa topic nafikiri ndo inakua hivi kama leo... Bahati nzuri Smile ni undercover mode: Source: Smile mwenyewe.... Hivo Senator naona tatizo litatuliwa ipasavo na Smile.
 
kha! Avatar na comments zitaua watu. Yawezekana anaogopa kukutana nawe kwa vile hayuko vile anavyoji express jf. BTW, kwa muonekano wangu hapo katika hali halisi ninatisha sio?
 
Nyuzi zako na historia yako humu haikuweki kama mwanaume wa kutegemewa na kuaminiwa. Pia kutoa kwako siri za wasichana wako hazivutii ladies!

Ushauri; ingia na ID nyingine na uact kigentleman zaidi then umtokee upya. (kama hatakushitukia)

ahsante kaunga, umejibu haswa niliyotaka kumwambia.
 
Senator anapenda kupost Jukwaa hili la Complaints kuliko zoooote. Na akikosa topic nafikiri ndo inakua hivi kama leo... Bahati nzuri Smile ni undercover mod: Source: Smile mwenyewe.... Hivo Senator naona tatizo litatuliwa ipasavo na Smile.
Nilitaka kuuliza kama mtoa mada anazijua kazi za Mods ila sasa nimeelewa ni Mods wapi anao wazungumzia...
 
Back
Top Bottom